St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Wengi wao huwa fix tu, haki ya Mungu vile! Wengi utakuta yeye ndo aliyemshobokea mume hata kumtongoza na hatimaye kumshawishi kwa nguvu zote wafunge ndoa. Kulia huwa ni usanii tu!
Wengi wao huwa fix tu, haki ya Mungu vile! Wengi utakuta yeye ndo aliyemshobokea mume hata kumtongoza na hatimaye kumshawishi kwa nguvu zote wafunge ndoa. Kulia huwa ni usanii tu!
siku hizi hatulii
hua tunafurahi kumiliki dushe....!!
ukituona macho kodoooo kulia ilikua longi!!
wee hiyo zamani sasa hivi machokodokodo unachezaje kiduku bibi harusi unawachangamsha wageni waalikwa.
Duh sijaona wanaolia...
namba nne itakuja kunihuu...
siku hizi hatulii
hua tunafurahi kumiliki dushe....!!
ukituona macho kodoooo kulia ilikua longi!!
full tabasam..kulia kunaharibu make up na mapambo ya bi harusi..mara ya mwisho kuona bi harusi analia ilikua 2005
wee hiyo zamani sasa hivi machokodokodo unachezaje kiduku bibi harusi unawachangamsha wageni waalikwa.
Ina maana nimezeeka namna hii,mpaka napitwa na wakati..??Miaka yetu ilikuwa lazima bibi harusi alie japo kidogo,ila wa siku hizi mh..!!