St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
Nimeikuta hii katika blog ya Swahili Time nikaona si vibaya tukiulizana na kupeana sababu tofauti...
Swali uliulizwa:
Hawa najiuliza, kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?
1. Jee! Ni uchungu au furaha kwa kupata mume?
2. Ni uchungu au kufaraha ya kuondoka mazingira ya nyumbani kwao?
3. Ni furaha ya kwenda kuanza kumiliki kitanda na mumewe mfululizo na
kwa muda anao upenda (lile tendo)?
3. Au wanaogopa fedheha kwa kuwa wanaolewa /anaolewa akiwa si bikra?
4. Ni uoga wa kuanza kulala bila nguo ya ndani akiwa kwenye ndoa na mumewe?