Kwa nini wanawake hawaipendi chadema?

Nina mpango wa kumtia vibao mwalimu mkuu atakayepeleka mtoto wangu wa shule ya msingi kwenye mkutano wa ccm.

umemjibu vizur hyo jamaa hpo juu hivi hushangai akina mama wengi wa vijijini ndio washangiliaj CCM kweli huwa kunna vitu wanapewa ukiachana na khanga na tshirt

Hili ni suala la mda tu,siasa kwenye umaskini na ujinga mwingi kama hapa Tanzania ambapo 40% watu hawajui kusoma wala kuandika inahitaji kujitoa

ila subiri shule za kata hzi na vyuo vifanye kazi yake,maana walau watakaohitmu huko watasaidia kuwaelimisha wazazi/wazee wao na hapo ndo utajua maana ya umaskini kwa watu wenye elimu na wenye kuelewa mambo,ukiona hvyo jua yaliyonenwa yanatimia

nikukosoe tu,wazee wengi enzi za TANU walilazimishwa kuwa wanachama na ndo hao leo wako CCM wanaulizia Nyerere WAO YUKO WAPI MBONA HAONEKANI,hawamuulizii JK ama RA ahaa,wanamuulizia Nyerere,tofauti na CDM hatulazimishi watu bali kizuri chajiuza

kokote duniani vijana maskin,wasomi na wenye nguvu ndo chanzo cha mapinduzi,tusidanganyane,mzee wa miaka 70+ leo umwambie mabadiliko si anakuona chizi,atakwambie kwake kushakucha kushazama,na ukimwambia vpi sisi vjana?anakujibu mbona mtaleta vita,

kutokana na umaskin mwaka mzima mke hana hata doti1 ya khanga,anamwona mme wake ndo adui,akiona mafisadi wanaleta pilau,kofia na khanga baaasi,wanawake wanawageuka waume zao wengne wanasaliti ndoa na kuimba wimbo wa mafisadi,dada zetu tambueni,ukosefu wa khanga,maji,ambulance,hosptali n.k tatizo si waume zenu,tatizo ni mafisadi,sie (waume zenu) tunawapenda sana

Mh!hawa vijana waandamanaji hawaoneki kama wana wake au wazazi achilia mbali mahali pa kulala!kwa uelewa wao hata anachozungumza slaa kwao ni kama kiarabu

Unawaona hivyo kwa sababu ya mfumo mbaya wa uongozi uliopo, umeshindwa kuwapa watu maisha bora na kila kukicha zile rasilimali ambazo zingewapa maisha bora zinatumika kuwaneemesha wachache ambao ndio leo CCM wamewaita magamba na wanataka kuwaengua bila mafanikio.

Baada ya wao kugundua unyonyaji huo sasa wanataka mabadiliko kwa nguvu zote.

ww ni mwanamke ama mwanaume?na umepewa tshirt ama pesa kuja hapa jf kututusi?unajua kuchukua hela ya mtu/magamba kufanya vitu unethical haina tofauti na kuuza mwili kwa ugali?nakuweka kwenye maombi ndugu.

Asante kwa matusi yako lakn mimi naipenda CHADEMA na ni mwanachama hai kabisa

DA mzima wewe? Vipi weekend!? Pia unaweza kuitumia changamoto hii kuwapigia debe CDM kwa ndugu, jamaa na marafiki wote (ikiwemo Wanawake) ili kuongeza idadi ya wanachama hai kule CDM.

DA mzima wewe? Vipi weekend!? Pia unaweza kuitumia changamoto hii kuwapigia debe CDM kwa ndugu, jamaa na marafiki wote (ikiwemo Wanawake) ili kuongeza idadi ya wanachama hai kule CDM.

Niko poa sana ngoja nianze kazi uliyonipa BAK weekend wapi bana

Reactions: BAK

Niko poa sana ngoja nianze kazi uliyonipa BAK weekend wapi bana

Uchumi umenuna na bei ya petroli haishikiki. Naangalia mpira hapa wa ligi ya UK.

wanawake wapo wengi tu ila wengi wao hawafati cdm sijui kwasababu cdm haitoi hongo ya tshrt,kanga na mashati?

Wanawake wa mtaani kwenu tu ndio wanaonfil jeikei,sisi kwetu ni peopzzzzz! Yaan wanawake front line kwenye changes tena Twanga kotekote hadi ccm b+

hapo umemjibu ki great thinker kama inavyotakiwa. Nadhani hiyo ndio conclusion yenyewe hakuna haja ya kuendelea tena na majibizano.

Uchumi umenuna na bei ya petroli haishikiki. Naangalia mpira hapa wa ligi ya UK.

Naona City ishakuwa usiku kwao. Bora tufarijike na futbol kuliko kuchangia thread ya huyo aliyetumwa na wenye magamba..

Naona City ishakuwa usiku kwao. Bora tufarijike na futbol kuliko kuchangia thread ya huyo aliyetumwa na wenye magamba..

atakuwa anachukua statistics za wanachadema wanawake jf.

Haya matusi sasa wazi wazi unadhani wakati nyie mnatoka kwenda kukaa bar mpaka saa nane usiku watoto nani anawaangalia...? Wakati unatoka kazini unapita kutembelea marafiki zako ukija nyumbani ukute chakula na hakuna mfanyakazi nani anapika...? Vyombo ulivyonywea chai asubuhi nani anaosha? Nguo kila siku wabadili na pasi unataka upigiwe na sijakusikia hata siku ukishika sabuni kufua unategemea nani afue...? Kitanda ulicholia na kuamka asubuhi bila kutandika ukirudo wakuta kiko safi nani ametandika? Halafu mnasema haki sawa na hatuipendi Chadema. Tubadilishane majukumu siku moja uone hiyo mikutano ya Chadema tutakavyofurika kama mchanga baharini. Familia kwanza siasa baadaye.

Wanawake wako wengi tu tatizo wanapiga magwanda huwezi kuwatofautisha kwa ghafla , mm wa kike naifeel sana cdm je ww shostito? Teh teh

Kama wafuasi wa chama cha magamba wanatumwa kuja kumwaga upupu hapa namna hii safari yetu ya kufikia maendeleo na uhuru wa kweli badi ni ndefu sana.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…