Kwa nini wanaume....................???

kila kitu?????
Tunawalipa mahari,,,
tunagharamia nyumba,
kula,kuvaa,
na mahitaji yote karibu,
.

kwani kutoa mahari ndio iwe sababu ya nyie kututumikisha hivyo?
Basi tutaanza kutoa sisi mahari.
 
kwani kutoa mahari ndio iwe sababu ya nyie kututumikisha hivyo?
Basi tutaanza kutoa sisi mahari.

wahindi wanawake wanatoa mahari na wanatumikishwa,,,,
ili mradi sisi ndio tumepewa bakora ,basi mkubali yote...
 
sio kila kitu bana, lakini acheni mwanaume aitwe mwanaume. kuna majukumu mwanaume akifanya haipendezi labda asaidie siku moja moja tu kwa zarura

kama majukumu yapi?
Usiniambie kupika manake wanaume wamejaa mahotelini kibao wanapika.
Mwanaume ni mwanaume ndio na heshma yake lazima iwepo na suala la kusaidiana kazi halibadilishi jinsia yake.
 
sasa kama wewe mwenewe unakubali ni haki zetu,why complain?
kwa nini usiwe mpole na kuzitoa tu taratibu?

Mi waga si-complain....i demand them,huwezi kwaheri.....l.o.l
 
kama majukumu yapi?
Usiniambie kupika manake wanaume wamejaa mahotelini kibao wanapika.
Mwanaume ni mwanaume ndio na heshma yake lazima iwepo na suala la kusaidiana kazi halibadilishi jinsia yake.
umewahi kujiuliza kwanini matiti yamewekwa kwa mama na sio kwa baba?
 
kwani kupika na kupiga pasi ndio hatujui value of women?

wanawake hufurahia vitu vidogo vidogo sana.
Usifikiri kumthamini ni hadi umfanyie vitu vikubwa ambavyo vingine huna hata uwezo navyo.
 
Una ujeuri fulani tungekutana kabla sijaolewa,ningekunyoosha........muone kwanza......:coffee:

funny thing,kila mwanamke alietaka kuninyoosha ameshindwa
the list goes on.....lol
 
wanawake hufurahia vitu vidogo vidogo sana.
Usifikiri kumthamini ni hadi umfanyie vitu vikubwa ambavyo vingine huna hata uwezo navyo.
huyu mwanamke unaemuongelea wewe anapatikana sayari gani?
 
wanawake hufurahia vitu vidogo vidogo sana.
Usifikiri kumthamini ni hadi umfanyie vitu vikubwa ambavyo vingine huna hata uwezo navyo.

husninyo unaongea as if unanifahamu...
vipi hivyo ambavyo sina uwezo navyo...?????????
 
Colossians 3:18
Wives, submit to your husbands, as is fitting in the Lord
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…