kwa nini wanaume wengi wanalala huku mkono mmoja ndani ya boxer??

Nilishawahi kuwa na demu yeye mkilala muda wote kakushika Konga hata nikigeuka analifata huko huko.lakini mimi huwa siingizi mkono huko ila ninakatabia cha kushika suruali sehemu ya mbele kama naongea na mtu.
 
kwanza kabisa dushelele langu lazima liwe limeeegeshwa juu ya K ya goma huku mkono unashika nyonyo.

Hahahaaaaa.... Weeee ni nooooma..!!

Kila siku unaegesha dushelele juu ya K ya goma..!!
 
Hahahaaaaa.... Weeee ni nooooma..!!

Kila siku unaegesha dushelele juu ya K ya goma..!!

ah maisha ndio haya haya...wengine hatuna udhaifu mwengine ndio huo wa utamu sasa haiwezi pita siku bila angalau kuigusa tuu
 
Jamani wapendwa naomba tulinde madushele yetu bure yakatukuta yaliyomkuta milaji
 
nina maswali machache kwako
hulalagi ucku kama mimi?
kwenye vitanda vya wanaume wenzako ulikuwa unafuata nini ucku mwingi?
ulikuwa unawafunua?
ulishawahi kukamatwa?
una tabia ya kupiga chabo?
 
nina maswali machache kwako
hulalagi ucku kama mimi?
kwenye vitanda vya wanaume wenzako ulikuwa unafuata nini ucku mwingi?
ulikuwa unawafunua?
ulishawahi kukamatwa?
una tabia ya kupiga chabo?

kama hujasoma boarding schools huwezi jua life ya kule...watu mnaamka usiku wa manane kwenda kupiga misuli sasa hata sioni mantiki ya maswali yako.
 
Mzungu akiamka asubuhi anashika kichwa aknawaza atagundua nini, Mhindi anashika tumbo anawaza atakula nini ila Mtanzania anashika kwenye "biology" a.ak.a walikokataza anawaza jinsi ya kuongeza population yaani anawaza kuongeza idadi ya watoto
 
Back
Top Bottom