Nimekuwa nikishirikia katiko wito mwingi wa kusuluhisha shida za watu za ndoa

katika hili ni vizuri nikujuze wewe unaejiandaa kwenye ndoa ndoa ni kutumika

nimeangaliawanaumewengi wakiwa kwenye uchumba wanatumia kweli wakiingia

kwenye ndoa wanabadilika kama smahani kuita hili"kenge"" ama kinyonga

ifike wakati tujiulize umejiandaa vipi kwa ajili ya ndoa ndoa si kuvaaa pete tu

na kunywa na kula na kwenda chooni nyumba inaanza baada ya saa sita na nusu wana

posema sasa wanaharusi wakapumzike hapo ndipo nani kasa nani garasa linaanza

wakati huu wa kujiandaa kwenda kanisanai kushiirki ibada takatifu naomba nikujuze

iwapo una tabia hiyo hilo ni roho spirit ya ubaili unaitaji kujitoa na si hivihivi kwa maombi

binafsi ya kufunga na kukeshaa..hii itakusaidia kuishi kwenye raha katika ndoa..

Umeoa huyo ndio wa kutumia nae aijalishi una kipato gani kaaeni chini wekeni vipato vyenu

kuleni mema ya nchi acheni maisha ya ubahiri ndoa gani unamtoa mkeo mpaka siku ya bday

hiyo ni laana ukiangalia na wazazi wako walikkuwa wanatoana siku za bday sasa jitoe

aina garaama sana ni kujianda tu na kupanga sala zako mungu akusaiidie kuishi kwa raha jamani

mema ya nchi unakula hapa hapa duniani nani kakwambia mema ya nchi yako mbinguni baibo

iko wazi ukifa inafwata hukumu na mbingu ni za bwana bali nchi ni ya dunia ...akili kichwani

wish roho ya kusihi kwa raha na starehe kwenye maisha yenu mungu aondoe kale karoho

ka ubaili jamani yaani natamani nianzishe kaibada cha kuombe na kukemea ubaili kwenye maisha

ya wana jf ..weewe unaacha maharage na ugali kwako unakwenda job unarud i unakaa

rosegarden/bpoint unazungusha round kama mwehu na laki zako unaondoka na alfu 30 ndio

maana nasema hata wale wanaopiga vidole kwenye nguo zetu ruksa kama mkeo wengine wanachoka

ati yaani nyama ule wewe alafu umletee vijiti mkeo na uchafu wa nyama mdomoni shamee

shamee shamee

hope kubadiliaka soon