Kwa nini wanaume wana chuchu?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Kwa nini wanaume wana chuchu??


Viungo vyote tulivyo navyo vina kazi maalum,

lakini sijajua kwa nini men wawe na chuchu, nini kazi yake??
 
Kwa nini binadamu wana mkia mdogo? Kazi yake sijaijua.
 
ni maumbile tu,si dhani kama kuna kazi zingine
 
Kwa ajili ya kuongeza ashiki tu na kuboresha mazingira ya mwili. Hebu fikiria kama zisingekuwepo pangekuwaje kifuani? MWACHE MUNGU AITWE MUNGU.
 
Kuna bibi mmoja hivi mitaa ya Upanga alikuwaga kichaa anaitwa Rabiya.

Ilikuwa ukimzingua anakutemea mate halafu anafunua gauni yake akupe radhi.
hahaha nishamsikiaga huyo
shaban robert umesomaje pale?? Dingi wako alikuwa fisadi!
 
Chu chu chuu
Zina kazi ndo mana zipo...wew huna/unazo?
Kwa nini wanaume wana chuchu??


Viungo vyote tulivyo navyo vina kazi maalum,

lakini sijajua kwa nini men wawe na chuchu, nini kazi yake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…