Kwa nini wanaume husahau kwao pindi wanapooa

Kwa nini wanaume husahau kwao pindi wanapooa

Wanaume wengine hawataki kupeleka pesa ndogo nyumbani, atapeleka pesa mara moja kwa mwaka nyumbani tena kwa wengi Christmas time, anaweza kupeleka millioni 5 au mbili. Wazee wamekaa na shida mwaka mzima, pesa ikiingia kuna madeni ya kulipa, walime mashamba, wanunue dawa za mifugo, pesa ikiisha ndiyo basi tena.

Wanawake wanajibana na wanaweza kupelea laki mbili kila mwezi nyumbani, wazazi wanamaliza matatizo mado madogo, hata mwisho wa mwaka wakiuza mazao yao, waiona faida, na wanaweza kuwa na budget ya kufanya mambo makubwa.
 
Shikamoo, kaka nimeshamwambia mama eti anasema ''uje una kichaa'' eti umepewa limbwata la mjusi hutoki kwako!
ha ha ha ha ha ha......., mbavu zangu mieee. hivi li-mjusi ndo halitokagi ndani eh! teh teh..
 
Back
Top Bottom