kamati
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 240
- 109
kumekuwa na tabia ya vijana kabla ya kuoa huwa tunajali sana nyumbani tunasomesha wadogo zetu tunahudumia wazazi na tunakuwa cio wabahiri sasa pindi tunapooa mambo hubadilika utakuta kijana home amesahau kabisa anaishi maisha mazuri kwake ana gar house nenda kwao sasa uone vituko utacheka mwenyewe BUT dada zetu wenyewe hujali sana kwao tofaut na cici vijana sasa je wake zetu ndo hutuzuia kusaidia home, majukum, ubahir au ujinga jamani tafadhali msinitukane kwani hayo ni maoni yangu