boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,280
- 310
Labour turnover ni muhimu sehemu yoyote, kama hamna hiyo labour turnover basi si sehemu ya kufaa kufanya kazi maana inawezekana watu wanaajiri kwa undugu bila qualifications hivyo inakuwa vigumu kupata ajira sehemu nyingine na wale walio nje wanaona hapafai kwenda kufanyakazi.