Mtoa mada kwani kilimo ndio hakihitaji watu waliofaulu? Halafu acha kudharau chuo wala mtu yeyote....mradi uelewe namna ya kutumia elimu wanayoipata huko.
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?