Yo Yo duh balaaa umeua mbaya
Ila sio wote bana wapo wenye vision wanajipanga na wana kila juhudi kufikia malengo yao
Wanapambana kwa kila njia kuhakikisha kuwa malengo yao wanayatimiza na kufikia pale wanapopataka
Yah najua ila walio wengi ni wale wale......mkuu wenye vission ndio hawa wanaolekea uzeeni wengi wao ninaowaona wana approach 40 huwezi kukaa na kijana under 30 mka share kitu cha maana zaidi ya kukuambia kala mademu wangapi wa ustawi wa jamii krisimasi na mwaka mpya...wengi vision zao ni kama zilivyoziandika hapo juu....Yo Yo umeua, umemaliza kila kitu. Lakini sio vijana wote.
Yah najua ila walio wengi ni wale wale......mkuu wenye vission ndio hawa wanaolekea uzeeni wengi wao ninaowaona wana approach 40 huwezi kukaa na kijana under 30 mka share kitu cha maana zaidi ya kukuambia kala mademu wangapi wa ustawi wa jamii krisimasi na mwaka mpya...wengi vision zao ni kama zilivyoziandika hapo juu....
mkubwa leo umeua sana punguza ukali wa maneno kwa sisi wadogo zako!Yah najua ila walio wengi ni wale wale......mkuu wenye vission ndio hawa wanaolekea uzeeni wengi wao ninaowaona wana approach 40 huwezi kukaa na kijana under 30 mka share kitu cha maana zaidi ya kukuambia kala mademu wangapi wa ustawi wa jamii krisimasi na mwaka mpya...wengi vision zao ni kama zilivyoziandika hapo juu....