mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
kweli na atakaesupport badala ya kujibiwa ataambia buku saba.Kwa sababu tunahaminishwa ofu na huoga , toka uko juu hakutaki kabisa kukosolewa wala kupingwa, tunajenga taifa la ofu ,kizazi kisichoweza kuhoji.
Sasa kwakuwa tatizo limeanzia juu linashuka chini taratibu na kila anayehoji ataambiwa kuwa yeye ni UKAWA.
rate ya kutoka povu inaongezeka kwa kweli.Vyakula tunavyokula
mkuu huko nako kunatatizo la kuoutsource ubongo google.Sio kwamba elimu imeshuka? Mhitimu wa leo wa digrii ni sawa au kapitwa na mhitimu wa middle school? Ukoloni mamboleo umetunasa vilivyo, huwa najiuliza umewezaje kumiliki simu ya smart au laptop halafu hujitambui?
Wewe ni zaidi ya Chief Mangungo wa Kilosa, mi nilitaka niambiwe kuwa ukweli hauwezi kuishi, ila wanautambua vyema,na sababu zao. Sio waseme huo si ukweli kabisa, persee. Inaumiza sana.
Ukweli haukwepeki bana.
kwa hiyo, hizi itikadi ndio shida au wenye itikadi wamezifanya kama imani za dini mkuu. maana zile hazibadilishikiItikadi mkuu ndio inayotufanya tusiweze kurumbana kwa hoja, mfano wewe unaamini katika itikadi yako ya kuwa chama chako cha domo pira ndio suluhisho la maisha ya nchi yako, then mwengine anasema kuwa chama chake ndio tatuo na hapo kila mmoja kashiba itikadi yake, na itikadi ndio kitu kibaya. Sasa hapo mtarumbana mpaka mpaka mtatiana mkononi.
aisee.Ukiwa na viongozi aina ya bashite tegemea kushuka kwa hoja maana kinachotawala ni ubabe na kung'oa watu kucha vivyo hivyo mitaani ofisini mpaka bungeni sio hoja tena zinazoendelea bali viroja na ushabiki tuu.. Maana walionunua vyeti na taaluma wengi ndio wanaoongoza taasisi na ofisi sasa, huwezi kusikia hoja hapo sahau kabisaa.
Hivi kuna darasa la saba "asiyejitambua" member wa Jf? Why?!?!!mkuu huko nako kunatatizo la kuoutsource ubongo google.
kile ambacho angefanya yeye, google inafikiria kwa niaba.
huoni hapo pia kuna tatizo...
Google inakuwa kama External HDD yetu,ya ubongo wetu tunaufanya kama RAM tu...
ukiwa hauna smartphone au PC basi ndio unakuwa kilaza kupitiliza...
siku hizi hata 43-14 bila calculator ya simu jasho linamtoka mtu...
Nadhani hili ni tatizo la watu binafsi bana, ujinga gani huu sasa?mkuu huko nako kunatatizo la kuoutsource ubongo google.
kile ambacho angefanya yeye, google inafikiria kwa niaba.
huoni hapo pia kuna tatizo...
Google inakuwa kama External HDD yetu,ya ubongo wetu tunaufanya kama RAM tu...
ukiwa hauna smartphone au PC basi ndio unakuwa kilaza kupitiliza...
siku hizi hata 43-14 bila calculator ya simu jasho linamtoka mtu...
Mwisho wa yote kuna lililo kuu zaidi ya uchama, utaifa kwanza , utu na ubinadamu Mkuu navyo vipo.Itikadi mkuu ndio inayotufanya tusiweze kurumbana kwa hoja, mfano wewe unaamini katika itikadi yako ya kuwa chama chako cha domo pira ndio suluhisho la maisha ya nchi yako, then mwengine anasema kuwa chama chake ndio tatuo na hapo kila mmoja kashiba itikadi yake, na itikadi ndio kitu kibaya. Sasa hapo mtarumbana mpaka mpaka mtatiana mkononi.
Kwahiyo wakiwepo hao mabashite wawili ndo Ukweli upingwe? Mi kwangu ni nchi kwanza. Vyama na watumishi wake bdae.Ukiwa na viongozi aina ya bashite tegemea kushuka kwa hoja maana kinachotawala ni ubabe na kung'oa watu kucha vivyo hivyo mitaani ofisini mpaka bungeni sio hoja tena zinazoendelea bali viroja na ushabiki tuu.. Maana walionunua vyeti na taaluma wengi ndio wanaoongoza taasisi na ofisi sasa, huwezi kusikia hoja hapo sahau kabisaa.
Mtoa mada mwenyewe umetokwa na povu badala ya kujenga hoja