Kwa nini utumie mkorogo?mcheki msanii huyu.

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Baada ya kupewa dau kubwa ili acheze scene ya mjane, msanii huyu alikubali kunyoa kipara. Cha ajabu baada kunyolewa uso na kichwa haviendani, hii yote ni sababu ya mkorogo. Wadada kuweni makini sana mnapojichubua chubueni kote kote, chini ya kwapa, vidoleni, kichwani nk.

Na sielewi kwa nini mtu ujichubue? infact wanawake weusii wana mvuto wake kama mlikuwa hamlijui hilo.

Kabla ya kunyolewa

MJ5.gif

Shughuli ya kunyoa ikaanza
MJ3.gif

Baada ya kunyolewa, duu uso na kichwa tofauti.

MJ2.gif

MJ4.gif

Thanx Kanumba.
 
huyu hajichubui alishaweka wazi hiyo,anatumia mapodozi ya kungarisha ngozi yake na kutoa mabaka sugu tofautisha hapo
 
mbona hajajichubua??acha chuki

uso na kichwa unaona viko sawa?? au ni ukurutu ulisababishwa na kuvaa wigi. Kwenye ukweli lazima tusema, mcheki Flaviana Matata, uso wake na kichwa sio Pepsi- Mirinda kama kwa huyu.

Mkorogo lazima ukemewe manake una madhara sana kiafya na kuharibu muonekano halisi wa mtu.
 
babu huyo dada hajajichubua mtu yeyote akinyoa upara pale zinapoanza kuota nywele kichwa kinabadilika rangi kidogo,honestly huyo dada hajajichubua wengi watatestfy hili...by the way ni choice ya mtu kuvaa wigi,kujichubua, kupaka makeups vitakuwepo hata pale utakapotoweka kny uso wa dunia
 
ivi ulishaona mtu alijichubua kwelli wewe? maana hapo sijaona, mtu yeyote akinyoa laziam vile vincha vya nywele vinamfanya kichwa kiwe cheusi
 
babu huyo dada hajajichubua mtu yeyote akinyoa upara pale zinapoanza kuota nywele kichwa kinabadilika rangi kidogo,honestly huyo dada hajajichubua wengi watatestfy hili...by the way ni choice ya mtu kuvaa wigi,kujichubua, kupaka makeups vitakuwepo hata pale utakapotoweka kny uso wa dunia

Na kiwiko je? mbona cheusi kuliko sehemu zingine?? Kumbuka sehemu ambazo kamwe hazibadiliki kwa watu wanaojichubua ni kwenye joints kama vile kiwiko nk.
 
Baada ya kupewa dau kubwa ili acheze scene ya mjane, msanii huyu alikubali kunyoa kipara. Cha ajabu baada kunyolewa uso na kichwa haviendani, hii yote ni sababu ya mkorogo. Wadada kuweni makini sana mnapojichubua chubueni kote kote, chini ya kwapa, vidoleni, kichwani nk.

Na sielewi kwa nini mtu ujichubue? infact wanawake weusii wana mvuto wake kama mlikuwa hamlijui hilo.

Kabla ya kunyolewa

MJ5.gif

Baada ya kunyolewa, duu uso na kichwa tofauti.

MJ2.gif

MJ4.gif
Asingechukiza hivi, shida ni kuwa bible imenena jinsi mwanamke atakiwavyo kunyoa, na mwanamke asinyoe nywele zake zote. Ona picha ya kwanza ipo mang'anyu kabisa hata nikiambiwa nitoe mahali ili awe bibi mdogo sibishi, tehe tehe. Nakumbuka ame act na Kanumba katika Dar - Lagos
 
Huu ndio usanii, nimetoka kidogo nje ya topic Im sorry, kuna wasanii wetu hapa nchini wanaigiza wapo vijijini maisha magumu lakini kichwani nywele zinangaa, au m2 ana act kwa kipindi cha almost 12 yrs lakini mwele za bandia ndo hizo hizo. Hongera mdada kwa kujali kazi yako na u r real beautiful wala hujajichubua.
 
Sidhani kama kajichubua....wanaojichubua sindo wale wanaoogopa mpaka jua!!
Inawezekana kichwani kuna vinywele vinavyosababisha kuonekane kweusi maana kama angekua amenyoa upara haswa kichwa kingetakiwa kiwe lighter zaidi !
 
Nadhan utakuwa huujui mkorogo wewe, huyu dada wala hajajichubua kabisaaaa. Kuna watu wanajichubua mpk ngozi imeisha yote, mishipa ya damu ipo nje nje, wakat wa jua kali ndo wanakoma.

Mi huwa naona kama wananuka wakipigwa jua.
 
kawa kituko cha ajabu-utadhani si yeye

Actually, katika picha mbili za chini anazoonekana "kituko" ndizo zinazomwonesha yeye mwenyewe halisi. Hiyo ya juu iko too artificial kwa sababu imerembeshwa ngozi na programu ya computer (huenda ni Photoshop), pili kashonea nywele za bandia na tatu kapiga katika pozi la bashasha ambalo humfanya apendeze au aonekane kupendeza.

Nampongeza huyu dada kwa kutojichubua.
 
...........wala hajajichubua huyu, tofautisha kati ya kujichubua na makeup. Picha ya kwanza ana makeup na picha ya pili hajaweka makeup ndio maana anaonekana tofauti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom