Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
Ndugu wana javi ni kawaida sana kusikia kwa vijana wa leo wakisema
usimwambia binti mapema kwamba utamwoa.
Swali langu ni kwamba: kama unampenda kweli kwa nini usimwambia?
Afu kama kweli ulikuwa unampenda utafanya nini baada ya kusikia
kashachumbiwa na jemba nyingine, wakati wewe unasubiri subiri?
Karibuni kwa consructive ideas.