D de concious one Member Joined Jul 25, 2012 Posts 24 Reaction score 2 Aug 3, 2012 #1 hi kwa nini tusingekua tunandika majina yetu yote yani ful name na cyo a.k.a kama unaitwa Mbaga Tamambele basi uandike lote na siyo unfpsha mara eg (M de t-a.k.a ya Mbaga Tamambeke ) kwa nini iwe majna mengne na siyo la asili lako bnafsi!?
hi kwa nini tusingekua tunandika majina yetu yote yani ful name na cyo a.k.a kama unaitwa Mbaga Tamambele basi uandike lote na siyo unfpsha mara eg (M de t-a.k.a ya Mbaga Tamambeke ) kwa nini iwe majna mengne na siyo la asili lako bnafsi!?
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Aug 3, 2012 #2 Nini kinakuuma?................
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Aug 3, 2012 #3 Kimbweka said: Nini kinakuuma?................ Click to expand... Jf bhana, raha sana. Asa we Kimbweka mwenzako anataka umjibu,nawe unamtwanga swali. Haya :focus: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kimbweka said: Nini kinakuuma?................ Click to expand... Jf bhana, raha sana. Asa we Kimbweka mwenzako anataka umjibu,nawe unamtwanga swali. Haya :focus:
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,942 Reaction score 43,599 Aug 3, 2012 #4 Miss u Madame B said: Jf bhana, raha sana. Asa we Kimbweka mwenzako anataka umjibu,nawe unamtwanga swali. Haya :focus: Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Miss u Madame B said: Jf bhana, raha sana. Asa we Kimbweka mwenzako anataka umjibu,nawe unamtwanga swali. Haya :focus: Click to expand...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Aug 3, 2012 #5 ruttashobolwa said: Miss u Click to expand... We nae sasa unajitafutia matatizo,unawa miss wake za watu?
ruttashobolwa said: Miss u Click to expand... We nae sasa unajitafutia matatizo,unawa miss wake za watu?
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,942 Reaction score 43,599 Aug 3, 2012 #6 Bishanga ni neno tu halina madhara ata wewe naweza sema nime ku miss kipindi ulipo kuwa rwanda! Bishanga said: We nae sasa unajitafutia matatizo,unawa miss wake za watu? Click to expand...
Bishanga ni neno tu halina madhara ata wewe naweza sema nime ku miss kipindi ulipo kuwa rwanda! Bishanga said: We nae sasa unajitafutia matatizo,unawa miss wake za watu? Click to expand...
Nambe JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 1,451 Reaction score 534 Aug 3, 2012 #7 mh, nahc ni vionjo binafsi tu vya mhusika............