Kwa nini tunawatumia wadada warembo na kuwabwaga.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
kwa sababu wengi wao awataki kuolewa na wanaume ambao wanastruggling pamoja. Awapendi kutoa contribution katika kuakikisha wanakuwa msaada kwa maendeleo ya mwanaume.

Wanakuja kwetu kwa ambao tuna majina makubwa, pesa tulizo zitafuta wenyewe (Red made men).
That why most of them remain single at the age of 35yrs. because tumesha wajuwa malengo yao, we use them and dump them to the dustbin.
 
Yah we corrupt them use them like condom thats their life style .they have chosen-"hamna kula bila kuliwa by JK"
 
Sababu ndoa ni zaidi ya kulala pamoja..

Mama watoto lazima awe na sifa za kuwa mama, warembo wengi hizo sifa huwa wanazikosa ndio maana wanamwagwa mda wa ndoa ukifika..
 
Hawajatulia, urembo wao unawadanganya.

Ni kweli kabisa, hata mama zenu once hawakuwa warembo thats why wametulia, hata wale dada zenu kwa kweli si warembo kabisa na wala hawatumiwi kama mnavyowatumia dada wa wenzenu, you know what hata kale katoto kako ka kike kale unakokaonaga kazuriii aisee sio karembo na kamwe hakawezi kuwa karembo maana katakuwa hakajatulia na katakuwa "corrupted" na kutumiwa kama condom........ time to respect each other, three fingers pointing yourself.
 
Last edited by a moderator:

Kwani na wewe ni mrembo mbona unatoka povu?hembu weka picha yako hapa tukutathmini mm nitakuoa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mada nzuri sanaaa sema imekosa staha tu ya wachangiaji, ngoja nipite zangu kimyaaaaaaa!
 
i know you lara 1....say something lady u gonna change the whole topic and give it a new course for the entire forum to contribute something constructive. go..goo...goo....go LARAAAAAAAAAA.
 
Hiyo dhana ya kutumia sikubaliani nayo hata wewe mwanaume pia unakuwa umetumika so wote mnakuwa used sio ati upande mmoja kudai umetumika au umepotezewa muda. Katika maisha sio kila unaekutana nae ndio atakae kuoa au utamuoa....haswa kutokana na kutokuwa na defined goal.....kwa hivyo sioni haja ya kujiwekea dhana wakati ni tofauti na uhalisia wa maisha...ni mtazamo tu...
 
Sababu ndoa ni zaidi ya kulala pamoja..

Mama watoto lazima awe na sifa za kuwa mama, warembo wengi hizo sifa huwa wanazikosa ndio maana wanamwagwa mda wa ndoa ukifika..
Wengi wana sifa za kuwa Warembo,na wanazitafuta sana sifa ili wawe warembo,bt hawatafuti ni jinsi gani wawe Mama,wanahisi u mama unakuja tuuuu,kila kitu kinatafutwa,wengine wanatafuta bt wanaona mashart yake ni magumu wanaacha na kubaki warembo then wanataka mume wakijua mume anataka Urembo.
 
well said...............continour to use them....at the end u will be used too on one way or another....!!!!!!
kwa sababu wengi wao awataki kuolewa na wanaume ambao wanastruggling pamoja. Awapendi kutoa contribution katika kuakikisha wanakuwa msaada kwa maendeleo ya mwanaume.

Wanakuja kwetu kwa ambao tuna majina makubwa, pesa tulizo zitafuta wenyewe (Red made men).
That why most of them remain single at the age of 35yrs. because tumesha wajuwa malengo yao, we use them and dump them to the dustbin.
 
kwa sababu wengi wao awataki kuolewa na wanaume ambao wanastruggling pamoja. Awapendi kutoa contribution katika kuakikisha wanakuwa msaada kwa maendeleo ya mwanaume.

Wanakuja kwetu kwa ambao tuna majina makubwa, pesa tulizo zitafuta wenyewe (Red made men).
That why most of them remain single at the age of 35yrs. because tumesha wajuwa malengo yao, we use them and dump them to the dustbin.

ready-made

that's why
 
Kwani na wewe ni mrembo mbona unatoka povu?hembu weka picha yako hapa tukutathmini mm nitakuoa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Niambie kwanza, binti yako mrembo? dada yako je? mama yako? halafu nitakujibu.
 
Ni kweli kabisa, hata mama zenu once hawakuwa warembo thats why wametulia, hata wale dada zenu kwa kweli si warembo kabisa na wala hawatumiwi kama mnavyowatumia dada wa wenzenu, you know what hata kale katoto kako ka kike kale unakokaonaga kazuriii aisee sio karembo na kamwe hakawezi kuwa karembo maana katakuwa hakajatulia na katakuwa "corrupted" na kutumiwa kama condom........ time to respect each other, three fingers pointing yourself.
Asante sana Mkuu umemaliza kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Duniani kuna mengi humu. Bora kununua plot Mars sasa na kwenda kuishi huko! Tehe tehe tehe. Ikitoka ccm inakuja mabinti. Ikitoka hili linakuja lile. Hatupumui?

Back
Top Bottom