Kwa Nini Tunapotezeana Mda?

Kwa Nini Tunapotezeana Mda?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Mtu ninakuwa nawe kimapenzi kwa muda mrefu tena tukipeana mapenzi na ahadi motomoto!
Tunafanya mengi katika sehemu mbalimbali, nikiwa na matumaini mwisho wa yote tutakuwa pamoja katika ndoa!
Lakini siku unakuja kuniambia "eti hatuendani kiumri!"
Hivi Una akili sawasawa wewe?
Ina maana hukuliona hilo, toka enzi zile nafanya michakato ya kukupata?
Utawezaje kulipa upotevu wa mda na gharama zangu kwako enzi zile nalala usiku wa manane kisa tu, nikutumia msg ya mahaba?

Inauma sana Jamani, yaani mda wote ule, leo tuko katika hatua za mwisho ndio uone umri Ni tatizo?

Sio siri...Town naiona nuksi!
 
mapenzi usani kaka kamatia malaya ufurahi...kuoa au kuolewa ni by the way siku hizi
 
mapenzi usani kaka kamatia malaya ufurahi...kuoa au kuolewa ni by the way siku hizi

Usemayo Mzabzab,
Sasa Nayaamini!
Itabidi nibadirishe mfumo wa maisha!
 
Inawezekana kuna wengine wanakua kwa rate tofauti na wanadamu wa kawaida...hahahah!!
Anyway kuepuka hilo hakikisha mambo hayo ya umri unayaongea na mwenzi wako tokea awali
 
Kwamba wewe ni mkubwa zaidi au Mdogo kuliko?
 
Inawezekana kuna wengine wanakua kwa rate tofauti na wanadamu wa kawaida...hahahah!!
Anyway kuepuka hilo hakikisha mambo hayo ya umri unayaongea na mwenzi wako tokea awali

Toka awali tulitambua tofauti zetu, lakini nashangaa mwenzangu kabadirika!
 
Pole sana, watu wengine ni wazuri tu kwa kuzuga nao na kupoteza poteza muda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom