Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Sio kwamba wafanya biashara wanakwepa kulipa kodi la hasha. Imegundulika kuwa kamishna wa TRA ndiye aliyeshikia tenda ya ku supply mashine za EFD.
Chanzo cha kuaminika toka chumba changu cha habari(jina na wadhifa ndani ya TRA vya mhusika vimehifadhiwa)ni kwamba kamishna ananunua kwa Tsh 70,000 na kuuzia wafanya biashara kwa malaki ya fedha yanayouziwa sasa.
Kwa hiyo huu ni mradi wa mtu binafsi. "ufisadi wana pretend ujasiriamali"-Roma mkatoliki. Maisha bora kwa kwa kila kiongozi.