Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,876
- 29,057
Uchumi wa kati oyeee!
you mean mwalimu wa primary pay yake ni only 180,000 hii ni nett au ni gross fafanua mkuu1. Mishahara BoT, Wakurungenzi, Wizarani, Waalimu Elimu ya Juu (public), watafiti, madaktari nk yaani hawa wote wana mishahara mizuri tu sana! Yaani mishahara isiyopungua 1.5 -2 m kwa mwezi- inategemea umefanya kazi mda kiasi gani! Pia wengine wana marupurupu makubwa kuliko mishahara!
Ila kumbuka pia usipomlipa mtaalam vizuri ataondoka na kukumbilia nchi zingine kama SA, Botwana, nk! The govt pays better partly to retain them!
2. Wenye misharara kidogo Tz ni waalimu, polisi na wafanyakazi wengine wa serikali Kuu!
Inategemea mishahara midogo unaongelea sector gani! hutaamini mwalimu wa primary mshahara wake ni 180,000 kwa mwezi wakati BoT anapata 1.8m yaani mara 10 zaidi!
Kumbuka pia Mbunge Tz mshahara na marupurupu ni Shilingi millioni 7 yaani 34 times mshahara wa Mwalimu wa Primary!!
Je is this fair? Kumbuka ni pesa hii hii ya kodi mmoja nalipwa 180,000 na mwingine 1.8m
na wote ni Watz!
Je kwa nini jamii iwe na tofauti ya mishahara mikubwa hivi????? Ukiangalia nchi kama Denmark..hakuna tofauti kubwa za mishahara! Mwalimu wa primary hulipwa milioni 3 na Professor wa Chuo kikuu hulipwa millioni 4! na Barmaid naye hulipwa milioni 2!
As a society: do we need a 10 times diffrence kati ya say mwalimu Primary na Mhadhiri wa Chuo Kikuu??
Tambua kuwa wanaojilipa vizuri ni hao hao wanaofanya maamuzi, wabunge, wakurugenzi serikalini, n.k
Hii ndo jinsi national cake inavyotafunwa mzee!! But this is not unique to Tz..ukienda Kenya utashangaa pia kuwa mshahara na marupurupu Mbunge ni Tshs 13m kwa mwezi na mwal. anapata kiasi kidogo pia!!!
Je nani wa kumlaumu? Ndo maana hata maprofesa wanaacha kazi zao nzuri za utaaalamu na kukimbilia siasa!
Pengine tujilaumu sisi wenyewe!
Angalia bas muda hyo comment inatolewa ilikuwa ni linyou mean mwalimu wa primary pay yake ni only 180,000 hii ni nett au ni gross fafanua mkuu
Upo wapi mkuu? Mstari wa mwisho umeonesha kuwa haupo BongoNakumbuka niliacha kazi za kuajiriwa nikiwa nalipwa Tshs 2.5m, nilikata tamaa baada ya kuwa-organise wafanyakazi na kuwaeleza haki zao nao wakaongezewa mishahara kidogo wakafurahi as if wamekidhiwa shida zao!
Imagine:
Nilikuwa na expenses hizi:
Sasa hapo kuna vitu kibao ambavyo sijaviunganisha, nikajaribu kufikiria namna ya kukata matumizi ikawa tatizo sana! Nikaamua kupiga chini kazi ya kuajiriwa na kuamua kujiajiri. Ni ngumu kuanza, ngumu kuamua, ngumu kumweleza mwenzako (kwa walioolewa ama kuoa) lakini wakati mwingine inabidi kujilipua tu!
- Daily naacha Tshs 30,000 kwa ajili ya makulaji home... Mwezi inakuwa ni Tshs 900,000/=
- Daily nilikuwa natumia Tshs 15,000 (kwa uchache) kwa simu, hivyo ni 450,000/- monthly
- Daily nilikuwa natumia petrol ya walau Tshs 20,000/- kwenye gari hivyo ni 600,000/= kwa mwezi.
- Monthly nilikuwa natumia Tshs 500,000/= kama kodi ya nyumba ili kukaa walau eneo lenye usalama kiasi.
- Monthly mlinzi alikuwa ananigharimu Tshs 120,000/=
- DSTV monthly ilikuwa almost Tshs 100,000/=
- Maji na Umeme monthly ni almost 100,000/=
- Service gari ni almost 150,000/= monthly.
- Daily nilikuwa natumia atleast 15,000 kwa lunch yangu na kinywaji kidogo nikitoka kazini... montly ni 450,000/=
- Matumizi yasiyoonekana (miscellaneous) kwa mwezi ni almost 500,000/=
Ni maisha tu, mahala kwingine wanaofanya kazi sana wanalipwa kidogo sana, mahala kwingine ni kinyume chake!
Wengine wanajikuta wanafanya deals ambazo si salama kwao na kwa jamaa zao kitu ambacho naamini kwa Muumba ni dhambi.
Bongo kugumu, heri huku nilipo, kuna u-afadhali!
Thread ya 2009you mean mwalimu wa primary pay yake ni only 180,000 hii ni nett au ni gross fafanua mkuu