Elections 2010 Kwa nini Sitta asiuteme wadhifa wake wa uwaziri akahamia CHADEMA?

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Ningependa kumuona mpiganaji samuel 6 akijiuzuru uwaziri afu akakitema chama cha mafisadi(ccm) na kujiunga chadema ili aongeze nguvu maana mwaka 2015 tunajiandaa kuchukua nchi tukiwa na watu makini na wenye uchungu na nchi kama kina sitta na wengineo kama mp george simbachawene( mbunge wa kibakwe)?

Naomba maoni
 
Naomba kujua sifa za sita zinatoka wapi? Bunge lililo pita aliliendesha vile kutokana namahitaje ya bunge lenyewe .........alifuata upepo wa bunge vinginevyo angetoswa.....hivyo ndivyo ninavyo fahamu mimi.Hanauzalendo wowote na wala hastaili kupata sifa za uzalendo! vinginevyo hatumjui.
Kama ni mzalendo ataje majina ya walio nyuma ya dowans, kama kasema mafisadi wana tafuta fedha kwa ajili ya urais 2015 inamaana ana wajua kwa hiyo awataje kwamajina ilituelewe kuwa ni mzalendo na yupo tayari kuifia nchi yake.

Wazalendo wa CDM hawaja wahi kutafuna maneno hata siku moja, basi afanane nao kwa vitendo kabla ya kuungana nao

Nikosoeni kama nimeongopa.....
 
Kwa nyongeza tu kama angekuwa shujaa asingeumaliza mjadala wa Richmond kihunihuni. Pia asingempinga Dr Slaa kwamba elimu na afya bure haiwezekani. Ni huyuhuyu alitishia kumpeleka Dr Slaa mahakamani wakati wa sakata la EPA. Labda hatuna kumbukumbu nzuri vinginevyo Sitta abaki tu huko CCM akiwa waziri inatosha. Nakuunga mkono mkuu
 
Naomba kujua sifa za sita zinatoka wapi? Bunge lililo pita aliliendesha vile kutokana namahitaje ya bunge lenyewe .........alifuata upepo wa bunge vinginevyo angetoswa.....hivyo ndivyo ninavyo fahamu mimi.Hanauzalendo wowote na wala hastaili kupata sifa za uzalendo! vinginevyo hatumjui.
Kama ni mzalendo ataje majina ya walio nyuma ya dowans, kama kasema mafisadi wana tafuta fedha kwa ajili ya urais 2015 inamaana ana wajua kwa hiyo awataje kwamajina ilituelewe kuwa ni mzalendo na yupo tayari kuifia nchi yake.

Wazalendo wa CDM hawaja wahi kutafuna maneno hata siku moja, basi afanane nao kwa vitendo kabla ya kuungana nao

Nikosoeni kama nimeongopa.....

Utakatifu unaoutaka wewe hata dr slaa wa mbowe hawana.
jifunze kutambua kazi za watu pamoja na madhaifu yao ya kibinadamu
 
yeye akae uko uko sisi tulionao wanatutosha na wako wengine wanachipukia ambao wanauwezo mkubwa sana atimuhitaji sita
 
6 si mpambanaji wala mpiganaji. Tamaa tu ya uongozi utajuaje naye anataka uraisi 2015 ndio maana anahusisha dowans na uchaguzi badala ya kuwataja hao watu.

Undumilakuwili tu. Analia amepigwa chini uspika kwa njama wakati mwenyekiti wa CCM ndiye aliyemteua uwaziri. Angegoma uwaziri basi.

Aliyeko ccm hana huruma na wananchi maskini wanaokufa kwa kukosa dawa, chakula,..........
 
Ningependa kumuona mpiganaji samuel 6 akijiuzuru uwaziri afu akakitema chama cha mafisadi(ccm) na kujiunga chadema ili aongeze nguvu maana mwaka 2015 tunajiandaa kuchukua nchi tukiwa na watu makini na wenye uchungu na nchi kama kina sitta na wengineo kama mp george simbachawene( mbunge wa kibakwe)?

Naomba maoni

2010 mlisema mnachukua nchi - haikutokea! Mna maajabu gani ya kuwawezesha kuchukua nchi 2015?
 
Naomba kujua sifa za sita zinatoka wapi? Bunge lililo pita aliliendesha vile kutokana namahitaje ya bunge lenyewe .........alifuata upepo wa bunge vinginevyo angetoswa.....hivyo ndivyo ninavyo fahamu mimi.Hanauzalendo wowote na wala hastaili kupata sifa za uzalendo! vinginevyo hatumjui.
Kama ni mzalendo ataje majina ya walio nyuma ya dowans, kama kasema mafisadi wana tafuta fedha kwa ajili ya urais 2015 inamaana ana wajua kwa hiyo awataje kwamajina ilituelewe kuwa ni mzalendo na yupo tayari kuifia nchi yake.

Wazalendo wa CDM hawaja wahi kutafuna maneno hata siku moja, basi afanane nao kwa vitendo kabla ya kuungana nao

Nikosoeni kama nimeongopa.....

Huwezi kutaja wapiganaji wa nchi hii bila kumtaja Samwel Sitta. Huyu ni mzalendo wa kweli, acha kusikiliza porojo za mafisadi kuhusu huyu mwamba. Alipigana akiwa Spika wa Bunge na sasa anaendelea kupigana akiwa ndani ya serikali ya JK ingawa wamemuingiza humo kinafikinafiki tu.
 
JK amempa uwaziri kinafiki ili amnyamazishe, ila Sitta hatanyamaza.

Alishasema kuwa Serikali isiilipe Dowans. Na mengine yatakuja.

Acha tu abaki hukohuko CCM awachokonoe na kuwaponda mafisadi waliojaa huko CCM from within!
 
Alikuwa anakuja kasi mno, alisahau kwamba CCM ina wenyewe, sasa kaiona game.
 
Back
Top Bottom