Kwa nini Sitta asihamie CHADEMA tujue moja?

Kwa sasa SITTA ni GALASA la kisiasa. Hata PPPT - MAENDELEO hawatampokea.
 
Sitta anatujambia tu, kama kweli anajua kazi kwa nini asiikoromee au kutibua vumbi kwa Kenya wanaohujumu Uchumi wetu na kutishia usalama kwa kujenga airport karibu na boda na karibu na airport ya KIA? pia swala la Kenya kuuza Loliondo kama iko Kenya, na booking toka nje zinapiatia Kenya?
Yeye waziri wa mambo ya Africa mashariki, kwani kazi yake ni kulamba miguu majirani? yeye hiyo kazi afanye nani?
Asijifanye anaongelea kazi ya kupambana na Rushwa, basi angeomba kazi ya Takukuru, anajamba tu Sitta.
 
Kwa sasa SITTA ni GALASA la kisiasa hata PPT - MAENDELEO hawawezi kumpokea.
 
Sita hawezi kupokelewa na CDM Kwa sababu kubwa moja, mnafiki(s.sita) ni hatari kuliko kafiri(mafisadi wanaojulikana) jumlisha usaliti wake kwa mpendazoe na uhaini kwa chama chake hastaili kuwepo kwenye jahazi la cdm .
 

analogy yako niliwahi kuisikia sehem kadhaa lakin nilisema hizi ndio stereotypes lakini inawezekana kuna chembe ya ukweli
maana unajua ukija Pwani tazama wanao fanya kazi weni ni hawa wanyamwezi sasa unajiuliza, where are the modern day Mirambos?

surely Sitta isnt one of them
 
huku anakula pesa hizo hizo anazosema ni chafu na za mafisadi?



come on the guy is becoming a joker in chief now
Ni pesa zipi za mafisadi anazokula Sitta? Ninavyojua mimi yule ni Waziri, hivyo analipwa na kula pesa ya Serikali sio chama. Angekuwa mwajiriwa wa ccm kama alivokuwa Makamba senior na wengine wa aina ile ndio tungesema anakula pesa za mafisadi moja kwa moja. Sikatai kwamba pesa za mafisadi hazimfikii kwa namna yoyote, hapana, pengine zinamfikia kidogo kupitia vijiposho pindi wanapokutana kwenye vikao vya ccm kama cc kwakuwa yeye 6 anaingia kama spika mstaafu. Hivyo bado sishawishiki kumlaumu 6 kwa fedha za mafisadi, badala yake namshauri aendelee kuwanyuka humo humo. Ujue ngumi ya karibu ndiyo itakayowaumiza mafisadi.
 

Jamaa hajui hata nini maana ya serikali hao ndio wapiga kura wetu teh teh teh.......
 
Jamaa hajui hata nini maana ya serikali hao ndio wapiga kura wetu teh teh teh.......
Ukisema hivyo, ina maana CDM hawapokei ruzuku toka Serikalini? Au wabunge wa CDM hawapokei mishahara ya Serikali? Kumbe unamtaka 6 ahamie wapi ambako hatapata pesa za Serikali wala za ccm? Hujui kama fedha za Serikali zinatokana na kodi zetu wote (wanachama wa vyama vya siasa na tusio wanachama wa chama chochote siasa)? Bado sijaona hoja yako, na bado sioni sababu ya kumlaumu 6 eti kwa kupokea mshahara toka Serikalini hana tofauti na mwajiriwa wa ccm kwakuwa wote wanakula fedha za mafisadi. Kumbe basi tuwatake watumishi wote wa Serikali wanaochukia ufisadi waachie ngazi kwakuwa (according to you) wanakula pesa za mafisadi. Na hawa mafisadi (according to you) ni walipa kodi wote wa nchi hii.
 

Yeye anafaa apigane akiwa ndani kwa sababu anawajulia kielelezo chake ni ufisadi wa Richmond na kujivua gamba haya yangejulikanaje kama angehama???Sasa hivi mawe yanarushwa gizani tusubiri litakaempata!!!Tutajua tu.

OLD GROOM NEW ALL CORNERS,NEW GROOM SWEEP ALL!!!!!!!
 
Maslahi binafsi zaidi...........sitta alikuwa mtu wa kuondoka mapema sana baada tu ya kutoswa uspika na kupewa sababu za kitoto.................
 
Ilikuwaje Ofisi ya spiker isijengwe Dodoma ambapo bunge lipo,ikajengwe Urambo, huo ndio tunaita ubinafsi,na kukosa vision(maono).
Sasa leo hii hiyo ofisi nani yupo huko? Huyu jamaa hafai kuaminiwa kabisa. Tujikumbushe jinsi alivyozima hoja za kamati ya bunge kuibana serikali itekeleze maamuzi ya kuwawajibisha waliohusika na mkataba wa richmond. Yeye kama mwanaccm wa siku nyingi anajua ccm haiwezi safishika.
 


Anafanya kazi nzuri sana mkuu. Mwache hukohuko amalize kazi, CDM ichukue nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…