Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wadau nini haswa kimewaingia akina Dada haswa huku mjini hataki uhusiano wamda mrefu,
Pili wengi wanapenda waume za watu
Tatu Wapo kimaslahi zaidi;

Mimi hii kitu inanishangaza sana utasikia mimi nina mume wa mtu ndo boyfriend wangu. Mume wamwenzio unasema ni Boyfriend wako jamani??!! Ukimpata akaona unamganda lazima akutafutie sababu za kukukwaza ili awe huru, nisaidieni kwanini?
 
wanapenda kuwa single kwa sababu wanaume mnajidanganya kuwa mko wachache so mnaleta mpouzi na cheatting nyingi, na kujiona kuwa bila nyie maisha hayaendi.....thats why
 
Sidhani kama wanawake wanapenda kuwa single ila wanaume ndio wamechoka kukaa na wanawake kwenye ndoa. Kama huamini nenda fanya utafiti
 
utafiti gani umeufanya na kuja na swali lako hilo? kawaulize wanawake walioko single kama hawatamani kuolewa. lakini ninavyofahamu mimi wengi wao wameumizwa na kujeruhiwa katika mapenzi na wengine hawana bahati. kwa wale walioumizwa wengine huhitaji kuchuna tu na wengine hupenda kulipiza.
 
Kila mtu huwa anaona mambo yanayomzunguka. Kama wanawake wengi unaokutana nao ni wa aina hiyo, ukweli ni kwamba you are a type of a guy who attracts those kind of women. To another type of a guy, things would be totally different.

So, it's not the fact, but you.

Mimi kwangu ni kinyume, wanawake naokutana nao wote wanataka everlasting relationship, and they have never been after money, even for once. But this is not the fact, it's me!

Wanasema, ukivaa miwani ya blue, basi kila kitu kinaonekana cha blue, but it's not the fact, ni miwani.
 
Halafu naona wanajifua sana kwenye nyanja za majambozi ukimpata anakufanyia mavituz ya ajabu kwelikweli
 
simply bcoz wanaume wanaboa saaaaaaaaaaaaaaana ol da tyme WENGI WAO na kuna wachache ambao ni km malaika vile wanavyojua kutreat mwanamke!
ukisema utulie nayeye na umuendo km yeye mfalme stl atakuboa tu atajifanya asense kitu na kukulipa mabaya so da solution iliyopo ni part tyme game o waume za watu ambao automatically ni part tyme n short tym as it is
lakin awa mabofrend wetu awa wamtumba kwa kuboa magalfrend weeeeeeeeeeeee hawafai.......!!!!!!!!!!!!1
kuish single smtmes z wealth snce its stress free compare to mastress ambayo binadamu mwenzako makusudikally anakuletea bila huruma ili tu roho ikuume!!!!!

thou mungu apend cz kasema muijaze dunia so kuolewa ni muhimu bt mmh.........wanaume makorokocho!!!!!!!!!!!
 
Wadau nini haswa kimewaingia akina Dada haswa huku mjini hataki uhusiano wamda mrefu,
Pili wengi wanapenda waume za watu
Tatu Wapo kimaslahi zaidi mimi hiikitu inanishangaza sana utasikia mimi nina mumewa mtu ndo boyfriend wangu mume wamwenzio unasema ni Boyfriend wako jamani??!!!Ukimpata akaona unamganda lazima akutafutie sababu z.kukwaza ili hawe huru nisaidieni kwanini
Sasa watafanyaje wakati idadi yao ni kubwa kuliko wanaume? Mnawaonea bure jamani....
 
simply bcoz wanaume wanaboa saaaaaaaaaaaaaaana ol da tyme WENGI WAO na kuna wachache ambao ni km malaika vile wanavyojua kutreat mwanamke!
ukisema utulie nayeye na umuendo km yeye mfalme stl atakuboa tu atajifanya asense kitu na kukulipa mabaya so da solution iliyopo ni part tyme game o waume za watu ambao automatically ni part tyme n short tym as it is
lakin awa mabofrend wetu awa wamtumba kwa kuboa magalfrend weeeeeeeeeeeee hawafai.......!!!!!!!!!!!!1
kuish single smtmes z wealth snce its stress free compare to mastress ambayo binadamu mwenzako makusudikally anakuletea bila huruma ili tu roho ikuume!!!!!

thou mungu apend cz kasema muijaze dunia so kuolewa ni muhimu bt mmh.........wanaume makorokocho!!!!!!!!!!!

Rose naomba uniPM tafadhali..............
 
Ni aina flani ya utamaduni uliojengeka siku hizi ambao ni athari ya utandawazi na kipato kwa upande mwingine. Tamthilia za tv na life style ya western na wadada wengi kuwa na kipato kuweza kujitimizia mahitaji mbalimbali kwa mtazamo wangu naona kiepelekea hali hiyo. Pia inaonekana kwa uwiano wa idadi kati ya wanaume na wanawake inaonekana idadi ya wanaume ni wachache siku hizi. Hivyo ule usemi wa tutabanana hapa hapa unachukua nafasi kubwa.
 
If our moms had not been tempted.......we would not be here!

nimeipenda zaidi hii!

back to topic.. wanapenda kuwa single kutokana na maumivu waliyoyapata kwenye mapenzi, na wengi wao wanadai mume wa mtu huhitaji kuwa commited kwake na wanachunika kirahisi!
 
Ahaaa! Kumbe sisi waume wa watu ni dili siku hizi? Sikujua hili. Mama naomba niku-tempt kidogo:sick:
 
Ahaaa! Kumbe sisi waume wa watu ni dili siku hizi? Sikujua hili. Mama naomba niku-tempt kidogo:sick:

mbona sitemptiki! wanaume wa watu wakuwa deal ndio maana kuna infidelity! hata wangu najua anachunwa somewhere!
 
Sasa kwanini usimchune mwenyewe?

sasa nimchune nipeleke wapi? hawa wakuchuna wana nyumba zao,familia zao zinategemea kipato atakacholeta. mi hata nikimchuna bado itaingia kwenye pato la familia!
 
sasa nimchune nipeleke wapi? hawa wakuchuna wana nyumba zao,familia zao zinategemea kipato atakacholeta. mi hata nikimchuna bado itaingia kwenye pato la familia!
Basi nichune mimi. Pato la familia yako litakuwa linachangiwa na wanaume wawili, huoni kama ni dili hilo?
 
Kushi na mwanamke nyumba moja mpaka milele nayo kero though inabidi.
Mkuu ni mtazamo wako tuu wanawake wengi wanapenda kuolewa hao unaokutana nao watakuwa wamelizwa uko then wanaangukia kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom