Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

majority ya Vidume wamekuwa waongo na kuwaumiza sana wapenzi wao jamani!!!! bora uwe single and FREE
 
Kila mtu huwa anaona mambo yanayomzunguka. Kama wanawake wengi unaokutana nao ni wa aina hiyo, ukweli ni kwamba you are a type of a guy who attracts those kind of women. To another type of a guy, things would be totally different.

So, it's not the fact, but you.

Mimi kwangu ni kinyume, wanawake naokutana nao wote wanataka everlasting relationship, and they have never been after money, even for once. But this is not the fact, it's me!

Wanasema, ukivaa miwani ya blue, basi kila kitu kinaonekana cha blue, but it's not the fact, ni miwani.

kiongozi hapo naona umashamaliza hapo kil kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom