kwa nini siasa

kwa nini siasa

mbagalakigoma

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
8
Reaction score
0
nikili hii ndo mara yangu ya kwanza kupost katika jukwaa hili
nimekua nikijiuliza sanaa..kwanin siasa??
kwa nini siasa juu ya wataalam?? kweli tanzania bado tunapelekeshwa na wanasiasa.....tunaacha jadili ya msingi tunakaa discuss cheap politics
tuna laana....no wonder hawa jamaa wanatupelekesha watakavyo...anf we will forever stay poor if we dont change.
 
Back
Top Bottom