Kwa nini Serikali ya Magufuli inaogopa kutumia Teknolojia kubana matumizi & kuleta maendeleo?

EIGHTIESTHROWBACK

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
328
275
Najiuliza hivi hizi foleni ya kuhakiki majina na TRA na mambo ta TIN ni wazimu mtupu

Inanikumbusha uzi uliletwa hapa JF wiki iliyopita ikilalamikia urasimu wa kupoteza muda unaofanywa na BRELA

Kama mtu ana leseni na kitambulisho halali cha serikali ambavyo vote vina taarifa zake kwa nini iwe vigumu watu kutumia mtandao wa serikali kujaza hizi form za TRA na kufanya malice kwa njia ya simu au mitandao?

Hivi sasa kuna watu wanapoteza zaidi ya nusu siku kwenda TRA kuwasilisha viambatanisho kwa ajili ya TIN. Kama mtu alishawasilisha kila kitu chake wakati anaomba kitambulisho cha taifa na vitu viko saved kwenye data base ya serikali kwanini we vigumu kwa mtu huyo huyo kumaliza haya mambo ya kusajili kampuni na kuwasilisha mambo ya TRA online na kulipa fine za trafiki na huduma zinginezo?

Mheshimiwa huwezi kuendesha serikali kwenye zama za karne ya 21 kwa kutegemea mbinu za karne ya 7.

ukitaka ufanisi kama Rafiki yako Kagame au Serikali ya Singapore yako lazima uwe serious na kuruhusu teknolojia irahisishe kazi na ufanisi serikalini na sekta binafsi. Sielewi kwa nini jambo la dada kudu likafanywa kwa kutumia masaa 24. Haingii akilini zama hizi
 
Je kwa wasio na vitambulisho vya kura au utaifa?inawezekana km data base iko correct na kuna xoordination kati ya data base. Za vitengo tofauti. Ndan ya serikali.na zinafanya kazi vema.naamin wamechukua mapendekezo yako.
 
Back
Top Bottom