Kwa nini rahisi kuhesabu makosa kwenye uhusiano

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Mtu anapokosea kwenye uhusiano ni rahisi mtu kulalamika na kutumia kama kigezo cha kuachana haijalishi mmeombana msamaha inakuwaje mazuri mengi ndani ya uhusiano yanafutwa na makosa machache!
 
Hata sio machache kosa moja tu
La weza kuvunja kila kitu...

Nadhani inatokana na uaminifu
Ulioweka juu ya mtu..
Na ile yakufikiri he/she is "perfect "
Unamuweka mtu juu kupita kiasi..
Na siku akikosea mmmhhh..
 
hii cjui ni ile notion ya the end inajustfy the means au ni nini! Lkn ni kweli huwa tunaangalia mabaya zaidi hata kama mazuri yana outweigh......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wataalamu wanasema binadamu tuna uwezo mkubwa zaidi
wa kupokea maumivu kuliko raha....hiyo ndio sababu.....

ndo maana huwa hatuwasahau waliotuumiza,lakini tunawasahau sana waliotupa raha zamani
 
Hata sio machache kosa moja tuLa weza kuvunja kila kitu...Nadhani inatokana na uaminifu Ulioweka juu ya mtu..Na ile yakufikiri he/she is "perfect "Unamuweka mtu juu kupita kiasi..Na siku akikosea mmmhhh..
nakubaliana na ww huwa tunawakamilisha watu ktk uhusiano!sasa baya moja linafuta yote yanini kufanya mazuri mengi huku ukijua kosa moja litaharibu kila kitu.. Kweli ubatili upo mwingi tu.
 
hii cjui ni ile notion ya the end inajustfy the means au ni nini! Lkn ni kweli huwa tunaangalia mabaya zaidi hata kama mazuri yana outweigh......
ina maana kwenye uhusiano makosa ndo muhimu kudetermine kama uhusiano ni mzuri ,au ni kutegemea mengi mema kwa umpendaye hatuchukulii baya tunalofanyiwa kama kipimo cha kujaza pungufu la mwenzako.
 
wataalamu wanasema binadamu tuna uwezo mkubwa zaidiwa kupokea maumivu kuliko raha....hiyo ndio sababu.....ndo maana huwa hatuwasahau waliotuumiza,lakini tunawasahau sana waliotupa raha zamani
true that,mabaya ndo yanamfanya mtu atambulike aina ya utu alionao
 
ina maana kwenye uhusiano makosa ndo muhimu kudetermine kama uhusiano ni mzuri ,au ni kutegemea mengi mema kwa umpendaye hatuchukulii baya tunalofanyiwa kama kipimo cha kujaza pungufu la mwenzako.
hatuwezi kutegemea mema tu maana binadamu c malaika!kikubwa tunapaswa kuvumiliana, kukosoana,na hata kama uhusiano umefika mwisho ni vzr kutambua mema ya mwenzio pia kuliko kusemana kwa mabaya tuuuu!
 
Nadhani ni rahis kuhesabu makosa ya mwenzako kwa kujihami au kwa kutokubali kujipa lawama! watu huesabu makosa ya wenzao kuwafanya wawe upande salama pindi wafanyapo maamuzi, kuwafanya wenza wao wajione wakosefu machoni mwao na mbele yawatu. Ktk mapenz unaposamehe kosa, sameheni jumla!
 
Wivu, kuchokana. Vinaweza kuwa vijisababu. Mtu huwezi kumwacha mpenzi wako kisa makosa madogomadogo tu, ikitokea kama hili ujue umechokwa.

ila pia usisahau kuwa kuna makosa mengine ni sooo! Mfano kumsaliti mpenzi wako kwa makusudi, afu waziwazi. Hapo utakuwa umefunika mazuri yote.
 
wataalamu wanasema binadamu tuna uwezo mkubwa zaidi
wa kupokea maumivu kuliko raha....hiyo ndio sababu.....

ndo maana huwa hatuwasahau waliotuumiza,lakini tunawasahau sana waliotupa raha zamani
kwa kweli utaona mtu umamfamyia mema kibao miaka nenda rudi, kosea kitu kimoja tu, hakuna rangi utaacha ona
 
ukiona mtu ,anafanya hivyo basi hakutaki tena, kigenzo kikubwa cha kumjua mtu kama amekuchoka au alikua hakupendi just alikua anakuchukulia vyako ,au analengo lake ,miongoni mwao ni hilo ,kama mtu anakupenda ata kama ulimpa kitu kidogo tu basi siku zote atakuona muhimu ,la ukiona anasahau ih-saan na nguvu zako kwa one mistake hakuhitaaji tena,,
 
UKWELI NI KWAMBA MOYO HUKUMBUKA ZAIDI MABAYA KULIKO MAZURI,

Maumivu yanauma zaidi kuliko utamu.

Kwaiyo siwezi shangaa mtu kushangaa
 
Kwa sababu si sehemu ya makubaliano kwenye mahusiano
Mtu anapokosea kwenye uhusiano ni rahisi mtu kulalamika na kutumia kama kigezo cha kuachana haijalishi mmeombana msamaha inakuwaje mazuri mengi ndani ya uhusiano yanafutwa na makosa machache!
 
Back
Top Bottom