Kikwete hajali chochote awe Pinda awe Shein. Yeye nia yake ilikuwa akae ikulu awe Raisi atembee kwa ving'ora na aitwe mheshimiwa Raisi. Hilo limitimia amemaliza na ndoto yake imefanikiwa hana mission wala vission nyingine, ila sisi wadanganyika ndio tunategemea kuna zaidi, speed mwisho ni hapo labda tulibebe gari mgongoni lisitembee kabisa.