Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara nyingi huwa hawapigi kura.
Uelewa mdogo wa mambo yanayoendelea nchini unaweza kuulinganisha na elimu duni inayotolewa na serikali ya ccm, kwa kuhakikisha shule za kata zisizo na waalimu wa kutosha, maabara, maktaba n.k.
Mtu wa kawaida katika vijiji na kata za Igunga hajui kama tunailipa Dowans kwa uonevu kwa hali ya juu kutoka kwenye kodi zetu. Infact hajui hata hiyo kodi anailipa hata kwenye sabuni anayoitumia kuogea. Simply ni kwamba hana elimu. Vyombo vya habari kama magazeti husomwa na watu wachache mjini Igunga, wengi vijijini hawajui kusoma na hawana hela za kununulia magazeti. Hivyo hawana habari ya maovu ya ccm. CCM bado kwao ni ya mwalimu.Uislamu nao umeshika kasi yake Igunga. Tunapoongelea hili tunaongelea ufinyu wa elimu dunia kama tunavyoiita wenyewe.

Wa Jikoni alisoma shule ya msingi na aliishia darasa la sita (hakuhitimu elimu ya shule ya msingi), lakini anapigia Chadema. hao unaowasema wanauelewa mdogo wana kiwango gani cha elimu?
atakuwa amekaa mjini kidogo.
Sidhani kama uchambuzi wako unajitosheleza. Unaposema watu wa Igunga wana uelewa mdogo una maana gani? Kama ni hivyo hiyo ni hali ya nchi nzima tu wala sio Igunga peke yake. Isitoshe watu wanaangalia sera za chama ndizo wanapigia kura.
Umetumia muda wako wote kuandika huu upupu?Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara nyingi huwa hawapigi kura.
Uelewa mdogo wa mambo yanayoendelea nchini unaweza kuulinganisha na elimu duni inayotolewa na serikali ya ccm, kwa kuhakikisha shule za kata zisizo na waalimu wa kutosha, maabara, maktaba n.k.
Mtu wa kawaida katika vijiji na kata za Igunga hajui kama tunailipa Dowans kwa uonevu kwa hali ya juu kutoka kwenye kodi zetu. Infact hajui hata hiyo kodi anailipa hata kwenye sabuni anayoitumia kuogea. Simply ni kwamba hana elimu. Vyombo vya habari kama magazeti husomwa na watu wachache mjini Igunga, wengi vijijini hawajui kusoma na hawana hela za kununulia magazeti. Hivyo hawana habari ya maovu ya ccm. CCM bado kwao ni ya mwalimu.Uislamu nao umeshika kasi yake Igunga. Tunapoongelea hili tunaongelea ufinyu wa elimu dunia kama tunavyoiita wenyewe.

Umetumia muda wako wote kuandika huu upupu?
CCM itashinda kutokana na sera nzuri zinazomnufaisha mwnanchi. That's all
mkuu fafanua jinsi sera za CCM zilivyomnufaisha mtanzania wa igunga for your info. asilimia 80 ya wakazi wa igunga hawana maji safi
wala salama, wakazi wa igunga wenye umeme ni aslimia 11 tena usio wa uhakika. na hii ni asilimia kubwa ya Tanzania ukiondoa maeneo ya mijini hiko kama igunga.
kuhusu ushindi wa ccm mambo siyo rahisi kama watu wengi mnavyofikiria kama ingekuwa ushindi wa CCM ni obvious basi usingeona nusu
ya baraza la mawaziri na almost serikali nzima imeamia Igunga wanafanya hivyo kwa sababu hali ni ngumu sana angalia mwenyewe jinsi
mikutano ya chadema inavyokusanya watu na watu hao wanakumbushwa facts tu maana wenyewe hali ngumu ya maisha wanaiona.
Sidhani kama uchambuzi wako unajitosheleza. Unaposema watu wa Igunga wana uelewa mdogo una maana gani? Kama ni hivyo hiyo ni hali ya nchi nzima tu wala sio Igunga peke yake. Isitoshe watu wanaangalia sera za chama ndizo wanapigia kura.
Wengi wetu huku JF si wapiga kura wa Igunga, tunakaa nje ya Igunga na hatujawahi fika Igunga. Sasa tambo za nini wakati twasubiria kujuvya kwa kupitia magazeti na redio? Tusubiri wana Igunga waseme, ila mhesabu kura asiwachagulie mbunge wana Igunga.Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara nyingi huwa hawapigi kura.
Uelewa mdogo wa mambo yanayoendelea nchini unaweza kuulinganisha na elimu duni inayotolewa na serikali ya ccm, kwa kuhakikisha shule za kata zisizo na waalimu wa kutosha, maabara, maktaba n.k.
Mtu wa kawaida katika vijiji na kata za Igunga hajui kama tunailipa Dowans kwa uonevu kwa hali ya juu kutoka kwenye kodi zetu. Infact hajui hata hiyo kodi anailipa hata kwenye sabuni anayoitumia kuogea. Simply ni kwamba hana elimu. Vyombo vya habari kama magazeti husomwa na watu wachache mjini Igunga, wengi vijijini hawajui kusoma na hawana hela za kununulia magazeti. Hivyo hawana habari ya maovu ya ccm. CCM bado kwao ni ya mwalimu.Uislamu nao umeshika kasi yake Igunga. Tunapoongelea hili tunaongelea ufinyu wa elimu dunia kama tunavyoiita wenyewe.

Wengi wetu huku JF si wapiga kura wa Igunga, tunakaa nje ya Igunga na hatujawahi fika Igunga. Sasa tambo za nini wakati twasubiria kujuvya kwa kupitia magazeti na redio? Tusubiri wana Igunga waseme, ila mhesabu kura asiwachagulie mbunge wana Igunga.