kwa nini namuona Makonda kama Traore

kwa nini namuona Makonda kama Traore

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,341
Reaction score
4,572
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
 
kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama traore.
1. traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k
fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mim nasema piga ua ni makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Makonda ni zuzumagic
 
yani una mfananisha Traore na yule mbwa mwenye matako makubwa kama mshangazi 😳 kua na adabu wewe alaaaah
kiongoz nyie ndio mmetajwa na mayala aina tatu za watu. usijadil mwili wake .jadili initiatives zake. Fasomebo makonda anaweza
 
Ni huyu Makonda au kuna mwingine
1751230849456.jpg
 
kiongoz nyie ndio mmetajwa na mayala aina tatu za watu. usijadil mwili wake .jadili initiatives zake. Fasomebo makonda anaweza
Bashite moja ya watu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania hafai kua hata mjumbe wa nyumba 10, mambo yake kamuulize mbunge wa arusha anamjua vizuri, kumfananisha na Traore ni kumkosea heshima Traore kwa kiwango kikubwa sana
 
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Vipi ile ya kila nyumba mkoa wa Dar kupakwa rangi, ilifanikiwa nayo?
 
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Unamkosea sana heshima Mzalendo wa nchi yake Captain Ibrahim Traore kwa kumlinganisha na jambazi Nyamitako.
 
yani una mfananisha Traore na yule mbwa mwenye matako makubwa kama mshangazi 😳 kua na adabu wewe alaaaah
Hizi tabia za kuita watu mbwa mnazitoa wapi mkuu

Binadamu mwenzio akiwa mbwa wewe siyo mbwa kivipi?
 
Ubinadam ni kwamba hauwezi sahihi kwa asilimia za wakati woote. Ila upumbavu ni mtu kusema mabaya yako uku akijasahaurisha mazuri yako. Pia wala ajitasmini na yake japo kimoyo moyo. Dunia wapumbavu ni weng*
 
Back
Top Bottom