A glass of water
Member
- Jul 28, 2012
- 69
- 107
Sina mda wa kujua kuandika... Ila nimeamua kuandika ivyo.... Wewe unayejua kusoma umetokea wapi?We nawe umetokea wapi? Takataka hujui hata kuandika.

Kwani hua hauoni wamiliki wa mbwa wanavyo ongea na mbwa zao, tuliza mshono huo nimemuita mbwa nimemaliza hizo zingine ni shida zakoHata sijakupangia na wala siwezi kufanya hivo
Ila nilitaka kukuuliza tu swali hilo kama binadamu mwenzako kumwita mbwa kwako ni sawa halafu wewe usiwe mbwa!
Hivi Traore ni jambazi?Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.
1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k
Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Makonda na Traore ni watu wawili tofauti kabisa.Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.