kwa nini namuona Makonda kama Traore

kwa nini namuona Makonda kama Traore

kiongozi kafanya meng sana.angalia arusha sasa biashara mpaka usiku. utalii umekua.lakilak vijana wa mbio za pikipik wamefaidika. angalia kiongoz alivokuwa mwenez. ilikua simu moja tu mwananchi anasaidiwa.na traore nae ndio hivyo hivyo simu moja kaz huna
 
😀Wanaume wengi walionenepa wanakuwaga na matako makubwa...na wanatembea wanayatikisa makalio yao...Fanya research hutajuta kuyajua haya😋

Screenshot_20240716_193908_Google.jpg

Angalia vitu hivyo
 
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Usisahau ndiye Mtanzania pekee nayeweza ua na kuteka mtu yeyote. Jina lake halis ni Bashite. Alipiga pesa sana kipindi cha giza
 
Kiongozi ni mtu asiekuwa na tamaa za mali ya watu au za umma.
Kiongozi ni mwenye maoni
Napenda Kiongozi anaepigana na Rushwa kwa dhati na sio kujionyesha huku yeye ni mwizi pia

Kiongozi asiwe mnafiki bali asimamie haki
Tunataka nchi iondokane na tegemezi la mikopo kila mwaka tangu nchi izaliwe

Ni hayo tu, kama mtu ataweza haya na kuyafukuza majizi yanayoanikwa na CAG Kila mwaka basi huyo ndio anafaa
 
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana

Huyu Traore wako wa Tanzania ni MHUNI na KIBAKA tu.
 
Usinipangie cha kuandika mzee tulia
Hata sijakupangia na wala siwezi kufanya hivo

Ila nilitaka kukuuliza tu swali hilo kama binadamu mwenzako kumwita mbwa kwako ni sawa halafu wewe usiwe mbwa!
 
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Acha kumfananisha Ibrahim Traore na huo upuuzi wako.
 
Ubinadam ni kwamba hauwezi sahihi kwa asilimia za wakati woote. Ila upumbavu ni mtu kusema mabaya yako uku akijasahaurisha mazuri yako. Pia wala ajitasmini na yake japo kimoyo moyo. Dunia wapumbavu ni weng*
We nawe umetokea wapi? Takataka hujui hata kuandika.
 
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Traore hana sifa ya kuuwa watu na ufisadi,kuna kufanya kitu sababu ya nature yako ulivyo,na kuna kufanya kitu kwa kujifanyisha,kuiga,kutaka sifa hizo ndiyo tabia za makonda
 
Bashite ana laana ya kumpiga Jaji Warioba.
 
We mleta mada acha fujo zenu, unamkampenia mate wako. Huyo dogo hana uwezo wa huyo unayemfananisha, mana majungu yamemjaa.
 
Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore.

1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia mtandaon uone Fasomebo inavyofanya. Ni makonda pekee ndie aliwah kuja na kampen zikazaa matunda.mfano usaf kila mwisho wa mwez, bima kwa kila mtz.n.k

Fasomebo sasa kila mtu anachangia alichonacho.pavement, ma barabara ya lami yanatandikwa kila angle na mimi nasema piga ua ni Makonda peke yake anakuwaga na ka karama flan ka kuhamasisha. Fasomebo inawezekana
Kama ni hivyo itakuwa unatembea na mbegu za Makonda mndukuni sio bure.
 
Traore hajilimbikizii mali wala hana tamaa ya madaraka
 
Back
Top Bottom