Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
sijawahi muona hatta siku moja huyu ntu
Tafuta maisha wewe acha unafki akienda we unanufaika nini unakua kama Mariam birianiHuyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
AnaendaBakhresa hiv nae huwa anaenda??
Mbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!Makosa mnayoyafanya au tunayoyafanya sisi watu weusi ni kuona wahindi, waarabu na wazungu ni ndugu zetu wakati ukweli ni kwamba wao wanatuona sio ndugu zao huo ndio ukweli mchungu, Mtu mweupe hata awe rafiki yako wa karibu sana jua tu moyoni kwake hana undugu na wewe na moyoni kwake wewe upo tu kama binadamu mweusi..
Waafrica tujitahidi kupendana wenyewe na kujenga mataifa yetu tuache ubinafsi na ujinga wetu ili tujenge heshima yetu hapa duniani. Dunia haiwezi kuheshimu mpumbavu hata siku moja na hivyo ndivyo Waafrica tunavyochukuliwa na Dunia, Kujitoa kwenye upumbavu na kujenga heshima ni kujenga Mataifa yetu ya Africa na kuacha mambo ya kipumbavu yanayofanya Africa kuwa Masikini..
Mbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!
Aliekufa amekufa ,asipozikwa na ndugu atazikwa na manispaa, wacha maisha yaendelee kwa walio hai, kwani Mengi ni nani mpaka kila mtu hawepo msibani kwake? yeye Mengi amehudhuria msiba gani kwa Mo ,acheni majunguHuyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
Hata rostam aziz pamoja na bifu lake na mzee mengi huko nyuma lakini alikwenda karimjee kuaga.Mbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!
wewe unataka aende hata misiba isiyomhusu? wewe mbona jana hukuwepo msibani hapo mtaa wa pili?Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
anaonekana kwa wanaomuhusu!Jamaa hata sura simjui, yaaan hajawahi onekana
RostamMbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!