Kwa nini maandamano yenye nia ya kudai haki au kuikosoa serikali huwa hayafanikiwi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini maandamano yenye nia ya kudai haki au kuikosoa serikali huwa hayafanikiwi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leornado, Feb 5, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Iwe ni wastaafu wa EA, wapinzani, wanafunzi wa vyuo vikuuu nk. wakipanga kuandama basi mwisho ni kupigwa mabomu, kuuawa au kuzuiwa dakika za mwisho mwisho wasiandamane bila sababu za msingi.

  Kwa nini TZ hairuhusu maandamano ya kudai haki? It is too much sasa. wat is da reason behind? serikali inaficha nini?
   
Loading...