First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Alaaaaa! kumbe?
kwa mtazamo wangu hizi ni baadhi sababu zinazomvutia mwanaume/mke apige PUNYETO
1. Kuangalia picha za ngono/uchi.
2. Kupenda kupiga stori za ngono.
3. Kusikiliza love story ambayo husisimua na kuamsha hisia za mapenzi.
4. Uvivu wa kufanya kazi/mazoezi.
5. Umbea, kufuatilia stori za maisha ya watu.
6. Tamaa binafsi za ngono.
7. Uoga wa kutongoza
8. Kuridhika na maisha binafsi aliyonayo mtu/kutokuhitaji maendeleo zaidi.
9. Kukaakaa vijiweni.
10....................................
11. Kutokuridhika na mpenzi ulienae.
12. Kuwa mwoga/kutokueleza wazi kwa mpenzi wako kuwa hujaridhika.
Kwa nini ushindwe kuchukua hatua? wengi huchukulia hili swala kama tatizo, wafanyeje ili waache wakati wengine hawapendi kuyakwepa mazingira hayo?
Hapo namba 1 sio picha za uchi tu, hata kuwaangalia watu live live wakiwa uchi nako kunaathiri sana. Mi hii nimeishuhudia mara nyingi minjemba ikiwa inapasha kwa kuchungulia watu! Mwingine mpaka unamponda jiwe ndo anastuka mweeh!
<br />mimi nilikuwa zamani ninafanya kamchezo haka kabaya kwa sababu ya binti mmoja alinizengua sana nikiwa shuleni halafu sikumwona tena........................kwa hiyo nikawa nikimwazamuwaza huku nikijishikashika maeneo fedhuli na baadaye nikawa ninajisikia vyema............lakini ashiki hunirudiarusia tena na tena.........................sijui alinifanya nini?
<br />Kipipi tupe ya kwako binafsi ndiyo tutakuamini ya wengineo.............................utakuwa unatujaza na hisia zako binafsi tu................