Kwa nini kitu chochote kinachoanzishwa na mzungu kinadumu wakati kinachoanzishwa na mwafrika kinakufa?

Ikinena

New Member
Mar 19, 2019
4
13
Kwani wazungu wana nini na sisi tushindwe tuna nini?
Angalia roman cathilic ambalo source na wazungu mana limeanzia italy yaani vatican na ndo mana haitakuja itokee papa awe mwafrica mana wanatuona sisi hatuwezi kabisa na the moment atakapokuwa papa mwafrica basi kanisa linakufa.

Tuje kwetu huku hasa tanzania angalia makanisa ya kilokole yanayoanzishwa na wafrica wenyewe kwanza hatuyaheshimu tunahshimu dini iliyoanzishwa na mzungu katoliki. Pili mwanzilishi hataki kudelegate kiasi kwamba akifa na kanisa limekufa tofauti na kanisa hili la Roma.

Kwani sisi waafrica tusianzishe kanisa la kiafrica linalodumu tukaachana na haya ya wazungu kama katoliki n.k.?
 
Mkuu Mungu anatupa kile tunachostahili bila kujali chochote! Ipo karne mwafrika ataongoza pia.....Kwani Marekani ilikuwaje iongozwe na mwafrika Obama?

Ngozi nyeupe zinakikomo wakati ukifika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wa mwafrika kifikra upo limited by nature ndio maana ni vigumu kumuona mwafrika akifanya vizuri kwenye mambo yahusuyo natural science.
 
Mzungu Yupo Very Systematic. Anatengeneza Kitu Kwa Weledi Mkubwa, Anakiwezesha Kifanye Kazi Yake Iliyokusudiwa Tofauti Na Mwafrika Ambaye Mfano Tu Humuhumu JF Mtu Anaanzisha Uzi Lakini Anashindwa Kabisa Kuuweka Kwenye Jukwaa Husika!
 
Back
Top Bottom