Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,051
- 2,205
Katika historia zilizoandikwa na wazungu na zile tulizofundishwa darasani inaonekana shujaa Kinjekitile Ngwale aliweza kuorganise maasi makubwa dhidi ya mkoloni wa kijerumani.
Inaelekea uhamasishaji wa kinjekitile ulikuwa ni mwanzo wa wakoloni kuelewa somo kwamba hatutaki kitawaliwa .
Swali kubwa je ni kwa nini wanahistoria wetu na wanasiasa hawataki kumuenzi mtu huyu na shujaa huyu wa zamani?