Kwa nini kila mwanaume anapenda mwanamke mzuri?

Nani huyo aliekuongopea mkuu??
kama kwel ni mzigua mbna mnaeleweka mambo mazuri mlonayo, na mashepu yenu kma mmekula dawa kumbe apana,

[HASHTAG]#Mzigua[/HASHTAG] Mwenzako Uku Anasema Wadada Wa Uziguani Ni Asaliiiii
 
Saikolojia ya uzuri ni pana sana kiukweli hata hivyo uzuri unabakia kuwa ni uzuri tu na ni kweli kwa wanaume wengi uzuri ni sifa nambali moja mengine yanafuata
Sababu kubwa kwenye hili ni hitaji la kukidhi tamanio la moyo wa mwanaume
Ni kawaida kabisa kwamba ili utashi wa kuzaana uwepo kwa asili yake lazima uvutiwe na mwanamke kwa kumtazama tu tayali deshelele lazima lisimame
Na hapa ndipo ilipo siri ya uumbaji wa asili wa kingono ulipo
Haijalishi uzuri huo ni sura kalio titi mwanya mguu mwanya n.k ndo maana nikasema uzuri ni falsafa pana sana na kimsingi lazima tukubaliane kwamba mwanamke mzuri ni chaguo namba moja kwa kila mwanaume
 
Kwanza niombe kusema hakuna mtu mbaya ila kuna baadhi ya wanaume hupenda wanawake walio na muonekano wa sura hata kama tabia yake huyo mwanamke ni mbaya.
Kwanza tujadili mwanamke mzuri ni yupi??
>Mwenye sura nzuri?
>Mwenye tabia nzuri?
>Mwenye maungo yaliyoumbika?
>Mwanamke mweupe netural?
>Mwenye rangi ya kiafrica
Ila wanaume tulio wengi upenda wanawake wenye sura nzuri hata kama tabia siyo nzuri unakuta mtu anateseka naye kisa sura.
Je kwa nini??
Tupeane elimu.
Mapenzi hayana sababu yoyote ya msingi yani hayaelezeki yani tapo tu
 
Back
Top Bottom