Kwa nini Kikwete aliwakimbia waandishi wa habari?

Rais wetu nilaza uwezo wake ni mdogo sana hawezi kuhimili maswali ya wahariri.
 
Alichokifanya anakijuwa na hakuwa na uwezo wa kukitetea, ila anauwezo wa kufafanua zaidi akikutana na wazee wake wa Dar.
 
Akiwa kama Raisi
angewauliza kuna
mwenye swali?
Badala kakimbia!
 
Back
Top Bottom