Kwa nini JK hakutembelea wizara awamu ya 2???

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Wadau mtakumbuka awamu ya kwanza Jk alipoukwaa urais alianza kutembelea wizara mbali mbali akifuatana na wapambe kibao, huku vyombo vya habari na wananchi wakitoa sifa kemkem kuwa sasa Tz imepata rais wa kihistoria hata hao waliomtangulia hawakufanya kama Jk, alimwagiwa sifa nyingi huku wakisema ni rais mchapa kazi anayewafatilia mawaziri ktk wizara zao na huku maaskofu pia wakamsifia sana huka wakisema ni chaguo la Mungu!! Sasa nauliza kwa nini awamu ya 2 hakutembelea wizara??
 
Back
Top Bottom