Tized anataka unga wa kwenye bomba langu!ahahahahhahahahhahah muonye kabisa !Mie niko snowhite bomba kabisa...Namshukuru Muumba wetu...haya banaa mie sitii neno zaidi lol!![]()
![]()
![]()
Tized anataka unga wa kwenye bomba langu!ahahahahhahahahhahah muonye kabisa !
usipende lawama rafiki kwa vitu unavyoweza kuzuzia banaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
ebana Tized enh nenda pande za BAK uongee nae chemba ,mi huwa namjua ana moyo mzuri sana rehab hii zina watu wachache lakini wanasumbua sana tatizo kwa hiyo sidhani kama kuna madostori wa kutosha kuhudumia hawa hawa waliopo ni shida!
cc @Fp
:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
bora umejificha !
manake we badala ya kutoa ushauri ndo kwaaanza unauza ramani za vita!
ahahahahhahahah Tized wapi wewe bana!
usiarare sana hebu rauka ufanye kuja pande hii !
:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
bora umejificha !
manake we badala ya kutoa ushauri ndo kwaaanza unauza ramani za vita!
ahahahahhahahah Tized wapi wewe bana!
usiarare sana hebu rauka ufanye kuja pande hii !
Nafikiri unaweza jifunza kumuappreciate na kuappreciate juhudi zake huku ukitumia akili kuwa unayempenda ni penzi lisilowezekana.He he he, ushindwe.
Wewe hapana, utaniunganisha na zombi moyoni.
Ila unaweza jifunzaa mpenda mtu? Sio fair kuumiza mtu wakati unajua fika.
:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
bora umejificha !
manake we badala ya kutoa ushauri ndo kwaaanza unauza ramani za vita!
ahahahahhahahah Tized wapi wewe bana!
usiarare sana hebu rauka ufanye kuja pande hii !
ahahahhahhhhaahhaha BAK we haya!
vidole vya snowhite vina ulimbo enh!ahahahhahahha sitaki mimi!sinifanyie hivo banaa!kwanza vipi tumuungunishe Tized safarini peramiho madaba nini!nahis atatufaa huyu,siti zimejaa kwani?ah mpeleke mwenzio banaaaa![
QUOTE=BAK;5994773]Atashuka kipande hii sasa hivi usifanye mchezo na maneno matamu ya snowhite...Sijajificha banaaaa!!!! nilikuwa nafanya push ups za nyuma ya kiti na washkaji zangu lol!
:attention::attention::attention:
ahahahhahhhhaahhaha BAK we haya!
vidole vya snowhite vina ulimbo enh!ahahahhahahha sitaki mimi!sinifanyie hivo banaa!kwanza vipi tumuungunishe Tized safarini peramiho madaba nini!nahis atatufaa huyu,siti zimejaa kwani?ah mpeleke mwenzio banaaaa![
QUOTE=BAK;5994773]Atashuka kipande hii sasa hivi usifanye mchezo na maneno matamu ya snowhite...Sijajificha banaaaa!!!! nilikuwa nafanya push ups za nyuma ya kiti na washkaji zangu lol!
:attention::attention::attention:
- Kupenda mtu anajifunza tangu akiwa mdogo, kama ilivyo kutokupenda/kuchukia. Ambaye hakuwahi kupendwa akiwa mdogo au aliyetendwa wakati huo anakuwa mwathirika mkuu na huwa mara nyingi anaweza kuumiza wengine.
- Kupenda kunaweza kuwa kwa moyo au kwa akili au kwa vyote.Apendaye kwa moyo hana sababu za kufanya hivyo, kwa akili huwa na sababu/anafikiri kwanini anapenda.Apendaye kwa moyo na akili hana sababu ila anaweza kutafakari(kufikiri kwa kina) nini anafanya na uzuri/ubaya wake ni nini kwa wote.
- Kupenda/kupendwa kokote kwa duniani kuna mwanzo wake na pia kunaweza kuwa na mwisho wake; ama wa wahusika wenyewe au mmoja kukoma kuishi.
- Penzi(upendo) unaweza kupandwa/kuoteshwa, kustawishwa na pia kudhoofishwa na hapa kufishwa hivyo kuikia mwisho.
- Wengi wanadhani wakishaanza mapenzi hawana sababu ya kuyastawisha kwa kwanza kuyalinda yasibadilike/yasipungue na kisha kuyaboresha kwa kuyanogeza kila wakati ili mwenzi aone leo ni bora kuliko jana(anapendwa zaidi)
- Aidha ni dhana potofu kuwa anayekupenda sana hataweza kukuacha kwa vyovyote vile na hivyo kumfanyia fujo/mambo asiyotaka.Mwisho wake huwa ni kuachwa wakati bado unataka kupendwa naye na yamkini usipendwe tena.
- Mapenzi bora yanaanza na yanadumishwa kwa mawasiliano chanya(positive) kati ya wenzi, tangu mwanzo.LAZIMA muambiane msingi wa penzi lenu na huu utakuwa ni mkataba wenu ambao mtakuwa mkikumbushana na kuuboresha mara kwa mara.
- Mapenzi yanahusisha watu kamilifu(individuals) na si komputa, hivyo kila mmoja ana uzoefu wake na mawazo yake.Kila mwenzi anao wajibu wa kuboresha mapenzi kwa kuwa tayari kujua nini tabia halisi ya mwingine na anapenda na hapendi nini. Zaidi ya hayo ni kuwa tayari kubadilika kwa maslahi ya penzi lenu, pasina ubinafsi.
- Mapenzi ni sanaa na ni sayansi, sote tunapaswa kujifunza kila siku namna bora ya kupenda kinadharia na kivitendo ili tuwe wakurugenzi katika fani hiii.asiyekuwa tayari anapitwa na wakati na awe tayari kuachwa kwani kila mmoja anahitaji vitu bora zaidi.Aidha mapenzi si ngono pekee (kwa wanandoa) ila ikumbukwe siku zote mboga bila chumvi inapooza hivyo msiache kuweka chumvi kidogo kila inapowezekana, kama hakuna sababu za msingi kama vile kukatazwa na daktari.
- Mwisho mapenzi si maisha bali ni sehemu ya maisha.Ni kosa kubwa kutoonesha upendo wako wakati unapenda na ni kosa kutomwambia mwingine kile usichopenda (hata kama humpendi mwambie wazi na kwa adabu, huku ukimshukuru kwa kukupenda).Vyote viwili ni uongo na ubinafsi.Yeye usiyempenda sasa na unadhani utaweza kumpenda baadae naye pia mwambie akupe nafasi ya kujifunza kumpenda kama anavyokupenda kwa hiyari yake, asikulazimishe na usilazimishwe na mazingira au hali.Usipopendwa usilazimishe(anayekwambia hakupendi pia amethamini penzi lako ila hakutaka kukudanganya au kukupotezea muda) na usijizuru kwa vyovyote vile isipokuwa tafakari na tafuta mtu sahihi atakayekupenda kwani maisha ni kutafuta hadi upate na atafutae huona.
It's like karmaYou couldn't be more right ndugu. Sijui kwa nini inatokea hivi, mabinti wengi ambao I didn't care about , walinipenda kweli kweli, mpaka kero endless phone calls etc etc. Nikaja kupata niliyempenda mimi, tabu nilizopata anajua Mungu.
It's like the more you try to pull her closer, the far away she goes : the further she goes, the harder you try. Ni vicious cycle ambayo most likely will leave someone heart broken.
It defies logic but the best way to handle this is by not showing too much love to the person that you love too much , if that is doable or not, it should be another day discussion .