Kwa nini inatokea.... na Tufanyeje Kuyaepuka?

Kwa nini inatokea.... na Tufanyeje Kuyaepuka?

Nafikiri nitafail no matter how much i try kudisguise how i feel. Kwangu you can easily see jinsi nikipenda nisipoweza kuficha hisia, mapenzi kwangu ni gamble hakuna uhakika na sijui kama hisia zikiwa controlled kama kuna chochote kizuri kitatokea.
Lakini najifunza......

Na kujifunza Ndio maisha ....hasa katika mahusiano..
 
Wakuu salaam.

Nimekua nikitatizwa sana na experience za maisha zaidi sana juu ya kupenda.

Mara nyingi ikitokea mmoja kati ya wawili kampenda na kumuonesha mwenzake upendo wa hali ya juu, upande wa pili huwa kuna kubweteka au kuzorota kwa response kwa mwenzake baada ya muda. (Kuchukulia mazoea au kiburi kuwa huyu kwangu kafika so naweza kuwa vyovyote ntakavyo)

Na kadiri mmoja anajitahidi kuongeza mapenzi ndio upande wa pili unazidi kurespond negatively na kadiri mmoja anavyorespond negatively, mwenzake atazidi kuongeza juhudi kuonesha upendo wake
(uhusiano wa mwanaume na mwanamke, wazazi na watoto, mtu na mtu i.e marafiki wa kawaida etc. kwa leo naomba tuzungumzie uhusiano wa kimapenzi kati ya Mwanamke na Mwanaume)

Najiuliza.
1.Je? kupenda kuna inverse relationship (negative correlation –when 1 goes up, the other goes down and vsv)
2.Je? mtu akijua anapendwa sana hupata kiburi kwa kuamua au anajikuta katika hali hiyo?
3. Ili kuondoa hii hali kila mmoja awe mguu moja ndani mmoja nje ili kupunguza kubweteka? kama inaweza saidia, Vipi wanandoa?
4.Je? tunakosa shukrani (appreciation) tunapopendwa na kujaliwa na wenzetu? au tunashindwa kutambua uthamani wa kupendwa?

NB:Kuna mwanasaikologia mmoja amewahi kusema ‘’The one who loves the most suffers the most, and the one who loves the least Controls the relationship’’ How valid is this statement with respect to our relationships?

Naomba kuasilisha.
Tized.
Hivyo ndivyo hata mimi nimeona hali hiyo kwenye mahusiano kadhaa ya majirani, marafiki zangu, na watu wengine ambao nimewahi kujichanganya nao.
What I do kuepuka, ni kusoma mazingira ya uhusiano haraka iwezekanavyo na ku adjust na kubalance accordingly ili kuepuka kuangukia upande dhaifu. Ikishindikana kabisa, kila mtu achukue njia yake.
 
Mwenyewe nishakubali defeat long time ago, ninachoomba ni kumpata mtu ambaye hatabreak this delicate heart of mine baaaasi!

Hapo sasa......kuna mtu alinifunza jinsi ya kushika moyo wangu mkononi bado sijamsoma kabisa.......teh
Lakini yatupasa kupenda at the same time kujipenda
 
Waswahili wanasema apendwae akajua haachi kujizuzua na Wafaransa wanasema kudumisha penzi lazima uwe "mysterious" vyenginevyo yatachacha
 
.. Nakubaliana na baadhi ya maelezo yako..

Bora kupenda kizushi zushi .. Ili kulinda moyo wako kuumizwa. . . (Biashara ya kumpenda mtu.. Mpaka unahisi kama akiwa hayupo una kufa hailipi kabisaaaa).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Haya maneno yako ni mepesi tu kwa kuandika neggirl until when utapenda kizushi zushi? kuna mda inafika u wish to be committed and give out gudloving to someone tatizo ndo linajia hapo
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa nadhani 'kupenda' ni tokeo ambalo ni involuntary...like it comes from nowhere..can you dictate it?
Tized hebu penda unapopendwa...hii mioyo ni kiza kinene sana...sio kila aitaye bwana bwana ataurithi ule uzima ujue..............

Hali hii uliyoiainisha hapa kwenye uzi wako ndio chanzo kimojawapo cha matatizo ya mahusiano kwenye tanzania ya leo.
 
SnowBall ujue mara nyingi unapopendwa utakuta wewe hupapendi na kusettle hapo vilevile ni kuidhulum nafsi bkz its less than what you desire
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndugu umeongea mambo yanayotokea ktk jamii yetu. Mara nyingi watu wamependa sana na kwa bahati mbaya hawakupendwa so sad. Unajua kumpenda mtu halafu ukaficha hisia zako sijui kama inawezekana. Kwa mtazamo wangu unapokua umeamua kuingia kwenye relationship nadhani mtu huyo utakua umempenda kwa kiasi fulani na pengine utazidi kua deep in love kadiri siku zinavyokwenda , hapo sasa ni ngumu kabisa kuficha hisia zako. Bado inawezekana ukapendwa sana na wewe pia unaweza kupenda sana hapo bwana ni raha usiombe. Uhusiano ukiwa wa two way traffic utaufurahia mno na waweza kujiona wewe ni mtu wa thamani mno hata maisha ya ndoa unaona yanaeda tu na miaka inakatika, mimi ni mmoja wao.

ukiona mtu anakuzingua sana ujue huyo hajakupenda pengine yuko na wewe for some reason tu. Na dalili za mwenzako kutokukupenda kwa kiwango kinachotakiwa utakiona mapema tu. Remember love is not something we feel but is something you can build it. Love huwa ina kawaida ya kukua lkn kwa bahati mbaya huwa tunachanganya love na emotions, love ni kitu kilicho hai tofauti na emotions zenyewe huja ghafla na huondoka mapema tu. Unapokua umetendwa yaani mtu hakuthamini upendo ulionao kwake, inauma lkn shukuru kwa kua mtu huyo alikua na wewe for some reasons tu acha nafasi ya mtu kukupenda na utafurahi mara tu mtu huyo atakapowalk in , itakusaidia kusahau majeraha yote uliyoachiwa na jambazi lililopita.
 
hizi mada shida zimejawa na theory nyingi sana.. ngoja niendee kuwa mtazamaji tuuu!
 
Mimi huwa nadhani 'kupenda' ni tokeo ambalo ni involuntary...like it comes from nowhere..can you dictate it?
Tized hebu penda unapopendwa...hii mioyo ni kiza kinene sana...sio kila aitaye bwana bwana ataurithi ule uzima ujue..............

Daah kaka unaposema upende unapopendwa maana yake ni pale unapopenda wewe pameshindikana so obviously mambo ya being unable to dictate when or who to love haya arise..na unapoamua kumpenda anaekupenda inakua sio automatic..daah ni ngumu sana duniani kupata mioyo miwili inayoelekea au kupendana kwa wakati mmoja..yani john anampenda rachel na rachel anampenda john vile vile..its either one is too late or anajiforce then with time ndo wanakuja kua vizuri lakin sio at the initial point
 
Last edited by a moderator:
Hahaa, nimekusoma mkuu, lakini wakati mwingi moyo huwa unazidiwa na kuipofusha akili, ngoma ndio inakuwa nzito hata mazingiza ukiyasoma bado conclussion inakua biased. then unaangukia pua.
Hivyo ndivyo hata mimi nimeona hali hiyo kwenye mahusiano kadhaa ya majirani, marafiki zangu, na watu wengine ambao nimewahi kujichanganya nao.
What I do kuepuka, ni kusoma mazingira ya uhusiano haraka iwezekanavyo na ku adjust na kubalance accordingly ili kuepuka kuangukia upande dhaifu. Ikishindikana kabisa, kila mtu achukue njia yake.
 
Mkuu kama ulikuwepo, Hii makitu timing yake mbaya sana, pale unapoamua kuwa siriaz, ndio inatokea, ila ukiwa kiutani utani inakuwa poa tu.
Haya maneno yako ni mepesi tu kwa kuandika neggirl until when utapenda kizushi zushi? kuna mda inafika u wish to be committed and give out gudloving to someone tatizo ndo linajia hapo
 
Surely Mrembo by Nature, changamoto inabaki namna ya kuondokana nayo, maana inaonekana nayo kama ni involuntary vile; mtu akipendwa anaanza kuji-distance pole pole, as one tries harder to come closer the other goes the oposite.
Hali hii uliyoiainisha hapa kwenye uzi wako ndio chanzo kimojawapo cha matatizo ya mahusiano kwenye tanzania ya leo.
 
yani tunazungumza kupenda kama vile ni suala la kuchukua karatasi na kuanza kuandika jina lako!
nani anajua unaanza kupenda lini?wapi?nani?saa ngapi?kwaninini?mpka lini?
if at all unamaanisha mapenzi ya kweli!
mapenzi hutokea tuuu!sasa sijui ndo yakishatokea ndo utaanza oh sionyeshi au sa hiz naonyesha!
haiko hivo banaa!
hapa sipendi nafake kuwa napenda!hapa napenda siwezi kufake kuwa sijapenda!
so ni swala la maamuzi yasiyokusudiwa kiviiile!
like hakuna mtu anapenda anaweza kuzuia kuonyesha kuwa anapenda!litakuwa sio penzi tena hilo!
kila siku mi husema maaakili meeeeeengi katika mapenzi yanaharibu maana nzima ya mapenzi!
 
Mkuu kama ulikuwepo, Hii makitu timing yake mbaya sana, pale unapoamua kuwa siriaz, ndio inatokea, ila ukiwa kiutani utani inakuwa poa tu.
imagine mtu anakufanyia kiiiila kitu cha kuonyehsa kuwa he/she is in love!na unakiri kabisa kwamba daaaym hapa nimekamata!NAPENDWA!lakini kwa maakili yetu mengi tunajifanya ah!poa tu!matokeo yake upande husika huanza kuhisi mapenzi na onesho lake kwa wawapendao ni maumivu!wanakaa chini!na kuona yote sawa!
hapo ndo na we unaanza oh unajua na mi nilikuwa nauchuna tu nilikuwa nakupenda sana,na kuanza kuonesha!kumbe its too late thn to catch the train!
mapenzi ni zawadi kupeana ni kikoa!!lol!
 
Best kwanza pole na starehe za weekend, pili karibu sana (I missed you dearly)

Appreciation ndio kitu kikubwa naona kuwa kinakosekana. ni msingi mkubwa na imara sana wa maisha ya mahusiano.

mwaya mi naaapreciate kwa kunimiss dearly!lol
ila watu wengi hatujui maana ya kupenda na kupednwa pengine ndio maana mapenzi yamekuwa usanii mwingi na kutokuamini!
 
Ya welcome mingi mingi.

Kwa hiyo inaelekea wengi hatujui, na kama mtu hujui huwezi kuthamini kitu usichokijua sio? maana kama vile hakikuhusu asee! Hahaaaaaaaaa, Its getting interesting kwa kweli!
mwaya mi naaapreciate kwa kunimiss dearly!lol
ila watu wengi hatujui maana ya kupenda na kupednwa pengine ndio maana mapenzi yamekuwa usanii mwingi na kutokuamini!
 
Back
Top Bottom