snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
yaaah wengi hatujui lulu tunazozipoteza kwa kweli!Ya welcome mingi mingi.
Kwa hiyo inaelekea wengi hatujui, na kama mtu hujui huwezi kuthamini kitu usichokijua sio? maana kama vile hakikuhusu asee! Hahaaaaaaaaa, Its getting interesting kwa kweli!
baaaaaadae saaaana ndo unabaki ah!niliwahi kupendwa bana mimi usinione hv!
waaapi!
nikwambie kitu Tized
mapenzi yana unyume mbaya sana i see!ogopa sana aliyependa sana akiamua kuchukia sana!
mapenzi yana madai,mapenzi yanataka sana kuengwa!
kinyume na hapo bana na hizi habari tunakutana nazo kila siku humu!
kiiiila siku!
tunajisahau sana!wkati mwingine tunahisi kuwa ni haki yetu na mastahii yetu kupendwa tupendwavyo!kiasi kuona ah HATA KESHO SI IPO!HATA KESHO SI NITAPENDWA TUUUUU!
kumbe maskini
PEMA USIJAPO PEMA UKIPEMA SI PEMA TENA!lol!
Last edited by a moderator: