Kwa nini inatokea.... na Tufanyeje Kuyaepuka?

Kwa nini inatokea.... na Tufanyeje Kuyaepuka?

Umenena Mkuu, I like you quote. Japo Mkuu unaweza kumsoma mwenzako ukaona hana hizo dalili, overtime pride over runs humility (the humbleness of heart)

snowhite anasisitiza sana tujiachie, makomplications baadae.
(Aika Msuri)

Mh kujiachia...at the very beginning?? utaumia milele...!!! i swear n promise you...:nono:
 
Pole Mkuu, hayo ndio maswahibu yenyewe, unapopendwa unaweka magumashi, ukipenda unawekewa magumashi vile vile, Ngoma droo. Nadhani huyu apo kwenye red, kwa sababu ameonesha sana kwako ndio unaanza kumchukulia poa, Najua baadae nawe utaanza kusema ''hamna atakayenipenda kama yule binti'' Hahaaaa, Mpokee Kaka Plato......
Kuna mmoja nilimpendaa halafu akanizingua nikamwacha taratibu mpaka nikamkinai, nikamwambia endelea (huku moyo unauma). Lakini kilichotokea baada ya miezi kadhaa watu wakaniambia "Unajua Plato ...anasema hakuna mwanaume
anaweza kumpata atakayempenda kama wewe ulivyompenda na anajuta kuachana na wewe!"

Ni kama alijua, kwa sasa ana kitumbo na mhusika ame-doubt kama unamhusu...Kifupi hataki kuambiwa habari hizo!
Yupoyupo tu na kujuta kwake, siye wengine sasa ndiyo tumekuwa washauri.

Kuna huyu mwingine ananipenda balaa lakini kwa bahati mbaya mimi moyo haudundi kabisa. Natamani nimwache lakini
naogopa kum-dissapoint. Na kadri navyopunguza mawasiliano ndivyo anajisogeza karibu zaidi. Sitaki kumuumiza ila taratibu najifunza kumpenda.....pengine iko siku
!
 
Mkuu SnowBall, Njoo okoa jahazi pacha wako anakaribia kuweka hisia za mtu mateka hapa!
ahahhahahahhahahah unaanza kuapply hapa hapa!
najua best!its healthy since itakupa tofali la kukanyagia kupenda mwingine ile kimahabat!
yani wengine unajua hawapendi sio kwa kuwa hawataki ni kwa kuwa hawajui kupenda ni nini?
hebu jaribu kufikiri hiyo raha na amani unayopata ukimuona na kuongea na snowhite hapa!,af wla hujawahi kumuona!ushawahi kufikiri hisia hizo ukiwa nazo juu ya mdada hv,unayemjua na kumgusa ile live kabisaa!ahahhahahaa kupenda raha i see!mno!
muulize BAK na @Fp
 
Ni wapi kuna twisheni ya kujifunza kupenda?

Nataka kuhudhuria vere siriaz

Aisee, mapenzi ni kizungumkuti bado sijafanikiwa kukitengua. Sishauri kutegeana, coz mwisho wa siku mapenzi yatakuwa karaha zaidi. In as much as ni ngumu kujifunza kumpenda mtu, ni bora ukajaribu kumpenda yule anayekupenda sana; kuliko kung'ang'ania kwa anayekuzingua. Huwezi mbadilisha lkn waweza jibadilisha wewe.
Na pia sio fair kumfanyia visa anayekupenda kwa dhati, jiweke kwenye viatu vyake, surely hungependa mwingine akufanyie unayomfanyia. Let's not take them for granted coz wakiondoka na sisi yakitikuta ndipo tunapotambua thamani yao.
Kupenda nusu nusu au kutoonesha hisia ni kujikatili mwenyewe, love is a beautiful feeling na ukiiexpress unajisikia vizuri kuliko kujibania au kuishi kimachale machale.
 
Mh kujiachia...at the very beginning?? utaumia milele...!!! i swear n promise you...:nono:
Mentor we muoga sana i see!
tatizo unaweka sana archives za maumivu!
penzi hili limeisha leo,u grab pnzi lingine ENJOY!khee nyie watu vipi!
mtabaki mnaweka weka kufuli kwenye mioyo yenu mpka inaota kutu!
 
Last edited by a moderator:
He he he, ushindwe.
Wewe hapana, utaniunganisha na zombi moyoni.

Ila unaweza jifunzaa mpenda mtu? Sio fair kuumiza mtu wakati unajua fika.
konnie kwani mbn we syllabus yako rahis sana kuimaliza!
hv ushawahi kufungua champagne?
sasa hiyo ndo hali yako kihisia juu ya zombie!
hujaamua tu kukubali kuwa UMEFIKA KIGOMA MWISHO WA RELI!
na walahi lenyewe linakaa kona tu linakuchek!utakavyoanza kuhaha uuuiwih nakuonea huruma!
 
Nimeshaomba msaada wa kidiplomasia kwa pacha wako, napiga mbio kaMtambuzi Hahaaa! Haingii mtu kwenye hilo handaki lako.
yani tena kimbia kabisa i see!
wengine tuna ebola za kihisia!af utatiaj huruma maskini!
si bora kongosho alikuwa avaiable,mimi si ndio utabaki kuimba ana ana doo tu!mwayego wala usikubali!jipe hewa upumue upate mapenzi uyatue,na moyoni yakustue wake moyo uuvue,nakuombea Rabbana mapenzi uyavumbue!
 
Uuuuwiii, unanona eehh! Best una makusudi sana aitheee!!
yani tena kimbia kabisa i see!
wengine tuna ebola za kihisia!af utatiaj huruma maskini!
si bora kongosho alikuwa avaiable,mimi si ndio utabaki kuimba ana ana doo tu!mwayego wala usikubali!jipe hewa upumue upate mapenzi uyatue,na moyoni yakustue wake moyo uuvue,nakuombea Rabbana mapenzi uyavumbue!
 
Hahahahah lol! snowhite Mwa.........:tape2: Naona Tized kaamua kujiniga na tai mzima mzima 🙂 🙂 Mie simoooo



ahahhahahahhahahah unaanza kuapply hapa hapa!
najua best!its healthy since itakupa tofali la kukanyagia kupenda mwingine ile kimahabat!
yani wengine unajua hawapendi sio kwa kuwa hawataki ni kwa kuwa hawajui kupenda ni nini?
hebu jaribu kufikiri hiyo raha na amani unayopata ukimuona na kuongea na snowhite hapa!,af wla hujawahi kumuona!ushawahi kufikiri hisia hizo ukiwa nazo juu ya mdada hv,unayemjua na kumgusa ile live kabisaa!ahahhahahaa kupenda raha i see!mno!
muulize BAK na @Fp
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh!!! Nimepapenda hapo kwenye rangi ya nanihii lol!:yo::yo::yo:




umeona enh!
ukimpata binti jipendee tu mwaya!kwa afya ya moyo wako!
oh!
sasa jeee?
hilo lipo ndani kabisa ya uwezo wako bana!LOVE!LOVE LOVE LOVE!
utaona raha yake!af nikwambie?
ukiwa huru na mweupe kihisia unakuwa na akili kibao best!sikudanganyi!si akili iko relaxed,!hebu apply hii theory utanipa majibu!
acha uoga!penda baba!penda and love will make it own ways!oh!
achana na haya makitu oh sijui nikipenda hanipendi,sijui nini wewe penda kwa afaya ya moyo wako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom