Kwa nini haya maneno yana nafasi?

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
CCM B, CCM C, CCM D - CCM-X n.k?

Kwanini maneno hayo yamekuwa yakipata nafasi katika siasa zetu?
Je taathira yake ni nini katika siasa za mageuzi na siasa za Tanzania kwa ujumla?

Ninavyojua mimi kabla ya jipu huanza kipele.. na kipele hicho ndicho huwa jipu!

vivyo hivyo kunyoosheana kidole... vingi vya vidole hurudi kwa mnyooshaji!

Tija ni ipi katika hilo?
 
Could you make yourself clear??
 
Mada hii inahusu wanasiasa wetu...
Wanapoungana na CCM katika jambo moja ama jingine tayari panatokea usemi CCM B au CCM C kama ilvyotokea Zanzibar na Arusha!
na hii inaonekana itaendelea je ni nini tija yake?
 
Back
Top Bottom