Kwa nini hauolewi?

Kwa nini hauolewi?

Mliagana kwamba kila mtu anafuata hayo maandiko?

Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha yake anavyotaka ilimradi asivunje sheria.

Hata hayo ni maandiko nayo.

Unapowashadadia watu kuhusu kuolewa, unawanyanyapaa na kuwaingilia katika haki zao za kikatiba.
ha ha ha ha ni mawazo tu uyafuate usiyafuate mwisho wa siku ni wewe na familia yako
 
ha ha ha ha majibu ninayopata mpaka sasa hivi kuna baadhi wameanza kuchanganikiwa kutokana na umri kukimbia,na wanakuwa wakali kweli.
hiyo kwel mkuu ila swala lakusema kwanini haolewi ni swala mtambuka sana na ni swala linategemea pande mbili, mi nikitaka kuoa nafanya hivyo ila mwanamke hawezi nioa, alafu kunavitu vingi sana katika kuoana dah hata kuelezea inakuwa ngumu mkuu. but kuchanganyikiwa baada ya kuchelewa kuolewa huwa inatesa sana na wengine wanakubali kuzaa na yoyote ilimradi apate mtoto na ikitokea nae anapata shida kumpata hapo ndo huwa hatari na yapasa uwe mbali nae maana anaweza kufa naweee 😆😆😆😆
 
Wengi wao unakuta mwanzoni walikuwa wanachagua sana....mwisho wa siku wanajikuta umri umeenda;kuna wimbo fulani wa zamani kama sikosei utakuwa ni wa Daudi Kabaka,unaozungumzia msichana mzuri kwa nini auolewi.
 
ha ha ha ha ni mawazo tu uyafuate usiyafuate mwisho wa siku ni wewe na familia yako
Ungeanza wewe kujali mambo yako wewe na familia yako, badala ya kushadadia mambo ya watu usio na nasibu wala ahali nao , ingependeza zaidi.
 
Ungeanza wewe kujali mambo yako wewe na familia yako, badala ya kushadadia mambo ya watu usio na nasibu wala ahali nao , ingependeza zaidi.
ha ha ha ha bila mimi kuandika hapa unge-comment wapi, simple logic
 
Mwanamke akishakuwa na kazi inayompatia kipato kizuri tunasema ana kazi nzuri maisha mazuri ni automatically yani yanajiset yenyewe, hii ni level ya kutumia akipendacho sio akipatacho, hapa mwanamke na yeye anachagua yupi mwanaume kamvutia sana atii kiu yake na maisha yaendelee, akitaka mtoto atazaa na amtakae kwakuwa anajiweza. Mwanamke huyu kwake kuolewa ni utumwa, na ni kweli.
 
Back
Top Bottom