young_ma
Member
- Mar 28, 2019
- 45
- 73
ππππππππMungu akujalie watoto wa kike halafu utapata jibu kwanini hawaolewi pumbavu sana.
ππππππππMungu akujalie watoto wa kike halafu utapata jibu kwanini hawaolewi pumbavu sana.
Inawezekana wanataka vitu vingi sana ambavyo wanaume hawanaKwasababu wanaume hatutaki kuoa, au unataka waolewe na maembe
Sijui wanataka tujiwowe?!Ebu waulize
Kabisaaa watuwacheeeSijui wanataka tujiwowe?!
Wasituchoshe na maswali yao
Weka tangazo lako hapa waje wawekezaji wa ndaniSijui wanataka tujiwowe?!
Wasituchoshe na maswali yao
Hivi kwa nini hawawowi etiKabisaaa watuwacheee
Siweki tangazo jamani ..Weka tangazo lako hapa waje wawekezaji wa ndani
ha ha ha wanaume wanazidi kupungua.wengine wanakuwa mashoga n.kHivi kwa nini hawawowi eti
ha ha ha tutakujaSiweki tangazo jamani ..
Ila mtuwowe basi!
Hao marijali ndo watuowe sasa!ha ha ha wanaume wanazidi kupungua.wengine wanakuwa mashoga n.k
Fanyeni harakaha ha ha tutakuja
Itabidi tuoe wake sita sitaHao marijali ndo watuowe sasa!
Haha unatushikia bangooWenzako wanaolewa wewe bado uko nyumbani...!
View attachment 1132689
ha ha ha kemea pepo na sema mwaka huu 2019 lazima niwe mke wa fulani....rudia x 10Haha unatushikia bangoo
sawa.. jibu fikirishi!!Asa kwanini niolewe?
wa nani vile???πha ha ha kemea pepo na sema mwaka huu 2019 lazima niwe mke wa fulani....rudia x 10
ha ha ha ha ha,wa yule uliyekuwa naye jumapiliwa nani vile???π
[emoji849][emoji849]ha ha ha ha ha,wa yule uliyekuwa naye jumapili