Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,758
- Thread starter
- #61
Walishaolewa mkuuDada zako wameolewa?
Walishaolewa mkuuDada zako wameolewa?
Sasa nani huyo ambae hajaolewa? Mbona tunashuhudia harusi nyingi mtaani kila sikuWalishaolewa mkuu
Nitumie basi kwanza ili the 'big day' ikifika nisistuke sana 😃kubwa kuliko inakaribia, tarehe zinajongea
hahaha chini ya miguu yako mama
Wanajikausha kama vile hawajaelewa swali.....wasipoolewa sasa watakuja wawe michepuko wa waume za watuOleweni Ma ninyi mzae kama mkivyo zaliwa acheni undezi jibuni swali?
ha ha ha hawataki kuoaSwali la kipumbavu Sana
Wanaume wa dar Hawa View attachment 1131924View attachment 1131925View attachment 1131927
Just relaxMpumbavu huyo
Ya kwako lini mkuu,nipatie kadi ya mchangoSasa nani huyo ambae hajaolewa? Mbona tunashuhudia harusi nyingi mtaani kila siku
ha ha ha ha huku hatulipwi kwa kufungua nyuzi ngumu za kuumiza kichwa;huku ni sehemu ya ku-relax
Nishaachika kitamboYa kwako lini mkuu,nipatie kadi ya mchango
Ujumbe unaumuhimu sana na walengwa wanaufanyia kaziSasa si ungesema kama unatufanyia mzaha (jokes) ili na sisi tukuzeveze? Siku nyingine mada kama hizi post iweke kwenye jukwaa la mzaha na vichekesho.
Tafuta mwingine mkuu,au unataka uzeeke hivyo hivyo,na usipoitumia itasinyaa.Nishaachika kitambo
Hakuna mwenye akili timamu aliyekuelewa hapa wanakuona punguani tu.Ujumbe unaumuhimu sana na walengwa wanaufanyia kazi
Nakuona mkuu unataka uipimie kama itafitNitumie basi kwanza ili the 'big day' ikifika nisistuke sana 😃
Aliyekwambia haitumiki Hadi niolewe ni nani?Tafuta mwingine mkuu,au unataka uzeeke hivyo hivyo,na usipoitumia itasinyaa.
ntaku tafuta kwenye uzi wetu ule,Nitumie basi kwanza ili the 'big day' ikifika nisistuke sana 😃
Mungu akujalie watoto wa kike halafu utapata jibu kwanini hawaolewi pumbavu sana.
Hawaniongezei shilingi mkuu,soma tu uondoe msongo wa mawazo.Hakuna mwenye akili timamu aliyekuelewa hapa wanakuona punguani tu.
Kwa nini unakuwa mchepuko wa mtu?Aliyekwambia haitumiki Hadi niolewe ni nani?
ha ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ni mume wa mtu?Kwa nini unakuwa mchepuko wa mtu?