Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
- Thread starter
- #161
si kweli mkuu[emoji849][emoji849]
si kweli mkuu[emoji849][emoji849]
Wapunguze kuchagua sanaWape na solution wafanye nini ili waolewe.
Write your reply...
Hahaa, kwani miaka 30 ndyo niaje niaje?, Mimi nna 30 now na sioni hata dalili so nianze kuwapigia miluzi [emoji30] [emoji30] . wakati sahihi ni wakati wa Bwana hivo hata nikiwa 40s wakati ukifika ntaolewa tuu. Ila ntakimbizana tu na menopause ntazaa faster faster vitoto vyangu vitano[emoji3] [emoji3]
Msituchoshe na nyuzi za KIBAMIA aaagh!!!