Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
umeamua kuni nyongonyesha
umeamua kuni nyongonyesha
Kuwa mwanaume basi...acha kuandika kwa mafumboUmeshaelewa,ila unanichora tu
Zaidi ya miaka 10 mkuuDuuh, hatuolewi wababu muda sahihi bado, ukifika mbona automatically mambo yanajisett tuu. Wewe ushaoa?
Huyu kayabeba maumivu toka huko na mtu ambae anahis muda wa kuolewa umefika.Duuh, hatuolewi wababu muda sahihi bado, ukifika mbona automatically mambo yanajisett tuu. Wewe ushaoa?
umeamua kuni nyongonyesha
Nilishaoa mimi zaidi ya miaka 10 sasaAkili zako hazijakua. Ungewauliza waoaji mbona hawaoi labda ungepata majibu ya uhakika.
Mkuu una watoto wangapi hawajaolewa?
Ukifikia umri wa miaka 30 huna boyfriend mwenye ramani,inabidi wewe uanze kutongoza,lasivyo utazeekea kwenu.Hizi jitihadi,tunazotakiwa kufanya ni zipi mkuu, je tuanze kuwatongoza pia?, mi naamini ukifika mda sahihi kuolewa kupo tu
Umekua mwili tu akili bado za kitoto.mtu mzima gani unauliza swali la kipuuzi kiasi hiki.ha ha ha 38 sijakuwa bado....
ha ha ha ha Mke wangu alishanioa tayariWe unaolewa lini?
Dada zako wameolewa?Nilishaoa mimi zaidi ya miaka 10 sasa
ha ha ha ha kwa utundu ulionao,inawezekana kwenye yale mambo huwa unaichukua mwenyewe na kuichomeka.Kuwa mwanaume basi...acha kuandika kwa mafumbo
Siku zinakimbia mkuu,nywele pamoja na ngozi zinabadilika rangiHuyu kayabeba maumivu toka huko na mtu ambae anahis muda wa kuolewa umefika.
Kila mtu ataolewa kwa muda wake.
kubwa kuliko inakaribia, tarehe zinajongeaKwanini mtarajiwa?
Halafu hii avatar yako mpya nitumie kile kipande cha juu tu kule PM...huku chini nitatafuta mwenyewe
Sawa mkuuSina
ha ha ha ha huku hatulipwi kwa kufungua nyuzi ngumu za kuumiza kichwa;huku ni sehemu ya ku-relaxUmekua mwili tu akili bado za kitoto.mtu mzima gani unauliza swali la kipuuzi kiasi hiki.
Mpumbavu huyoUmekua mwili tu akili bado za kitoto.mtu mzima gani unauliza swali la kipuuzi kiasi hiki.